Kuzimia baada ya kufanya tendo la ndoa

Siku nyingine akizimia jaribu kumwagia maji
 
pamoja na yote, dogo una mwandiko mbovu kichizi, jitahidi ku'behave kiume basi maana hizo mambo za kike kutumia 'x' badala ya 's' kuandika 'tyuu' badala ya 'tu' sio mpango wala nini.
 
pamoja na yote, dogo una mwandiko mbovu kichizi, jitahidi ku'behave kiume basi maana hizo mambo za kike kutumia 'x' badala ya 's' kuandika 'tyuu' badala ya 'tu' sio mpango wala nini.
Ucwaze faza
 
Huyo kama ni Mke si tatizo kubwa lakin kama ni demu huliwezi, labda uachane naye aka deal nalo then Umuoe, sidhan kama kuna ugonjwa hapo zaid ya Masheitwan a.k.a mapepo
 
Huyo kama ni Mke si tatizo kubwa lakin kama ni demu huliwezi, labda uachane naye aka deal nalo then Umuoe, sidhan kama kuna ugonjwa hapo zaid ya Masheitwan a.k.a mapepo
Ngoja kakubali jumanne tukacheki afya @selian then nitawapa feedback
 
Kuna jamaa yangu alipatwa na the same problem kwa girl wake,ila the girl alikiri ana mapepo..so usije kushangaa hata huko hispital wakakwambia hawaoni ugonjwa.
 
Huyo anaugua kifafa cha ngono, alikua dem wa mshkaji wangu kama anaishi Kijenge Chini
 
Ufanye haraka tunasubiri mrejesho hapa
Wadau nilifanikiwa kwenda hospitali kwa check ups na huyo dada, tulifanyiwa vipimo wote na baada ya hapo ikawa hivi, alianza kwa kutoa sababu za kuzimia kwamba inawezekana ni uume mrefu kwmb mwishoni unagusa cervix unafanya blood pressure kuwa kubwa, pia kuna matatizo ya pressure, hata kifafa pia na pia kuna mambo ya kufirika pia yanachangia afu then pia kurithi, hata pia pumu inasababisha, mengne ngoja nikumbuke cz dokta alikuwa ananipa ushauri wa kuacha haya mambo ndo kamwita sister chemba kumshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…