wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Habari wana JF,
Mimi Nina shida moja, Nina msichana wangu, kila akinimegea ile mwishoni kumekaribia anazimia kabisa. Nikimuacha baada ya muda kidogo hivi anazinduka, nikimuuliza kama anajisikia vipi cjui ananidanganya, sababu ananiambia anajisikia poa na wala hakuzimia.
Mimi nataka nimkache( nimuache).
Vipi huo ni ugonjwa au vipi asije nletea msala hapa.
Siku nyingine akizimia jaribu kumwagia maji