Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

Uasi umeonyesha nyufa nyingi kwenye jeshi LA Urusi na Putin. Anachoweza kufanya Putin kwa sasa ni ama aende kwenye meza ya mazungumzo na Ukraine wamalize vita alivyoanzisha au atumie silaha za nyuklia,,,kwa silaha za kawaida hawezi shinda.
Akitumia nuclear na yeye ajiandae kuzama.
"Amwagaye tope naye humrukia"
Tusubiri tuone.
 
Prigozhin kakamatwa????[emoji101]
Habari zake haziko wazi. Kwa maneno yake mwanzoni haioneshi kuwa alijisalimisha. Na Belarus hajafika au hajaonekana.
 
Habari zake haziko wazi. Kwa maneno yake mwanzoni haioneshi kuwa alijisalimisha. Na Belarus hajafika au hajaonekana.
Belarus ilimsihi Sana aache uasi. Kwa hali ilivyo majenerali wa urusi hawawezi kufanyakazi tena na kiongozi muasi
 
Habari zake haziko wazi. Kwa maneno yake mwanzoni haioneshi kuwa alijisalimisha. Na Belarus hajafika au hajaonekana.
Kuna hoja kwa wanao Amini.[emoji56][emoji56]
 
Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi.

Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye moto kupitia propaganda kwa kuzusha ya ziada.Marekani kupitia Pentagon ilisema wao walikuwa wakifuatilia kwa makini mwenendo mzima wa majibizano ya Prigozhin na makamanda wa Urusi.

Hata hivyo kuzimwa kwa uasi ule umeonesha kwa mara nyengine jinsi gani Putin alivyo mwamba kwenye vita hivi na imeongeza nguvu na moyo wa mapigano kwa jeshi la Urusi. Kwa upande mwengine umeongeza hofu kwa Zelensky na washirika wake wa NATO.

Hata kama kungekuwa na uasi uliofanikiwa basi usingepaswa kuongozwa na Prigozhin mtu ambaye kichwani ni mkavu sana katika historia na hana hekima katika matamshi yake.
Nilimuona zelesky jana akisema eti Putin atakuwa anatetemeka na anaogopa na anauhakika Putin kashakimbia na hayupo Moscow! 🤣🤣🤣
 
Urusi ilishapoteza uelekeo siku nyingi sana, kwa wenye akili na waona mbali tulishajua ila kwenu nyie wajinga ndio mnababaika na kuleta viuzi vyenu humu vya kitoto
Sahihi kabisa....hii Vita imeshakuwa shubiri chungu kwa Urusi na Putin.
 
Urusi ilishapoteza uelekeo siku nyingi sana, kwa wenye akili na waona mbali tulishajua ila kwenu nyie wajinga ndio mnababaika na kuleta viuzi vyenu humu vya kitoto
Hivi ushawahi kwenda vitani? Russia uzuri wake akipigana hataki wapambe kama marekani.

Mhudumu wa vyakula wa Putin leo amgeuke Putin unajua nani kamuweka hio nafasi hata leo akawa mkuu wa Wagner?

Tokea Wagner wafanye hili tukio nitajie kijiji kimoja tu Ukrain wamerejesha mikononi mwao.

Usisahau mwezi tu nyuma Wagner walisema wapo short na ammunition unajua nani supplier wao?.
 
Back
Top Bottom