Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

Tusubiri tuone.
 
Prigozhin kakamatwa????[emoji101]
Habari zake haziko wazi. Kwa maneno yake mwanzoni haioneshi kuwa alijisalimisha. Na Belarus hajafika au hajaonekana.
 
Habari zake haziko wazi. Kwa maneno yake mwanzoni haioneshi kuwa alijisalimisha. Na Belarus hajafika au hajaonekana.
Belarus ilimsihi Sana aache uasi. Kwa hali ilivyo majenerali wa urusi hawawezi kufanyakazi tena na kiongozi muasi
 
Habari zake haziko wazi. Kwa maneno yake mwanzoni haioneshi kuwa alijisalimisha. Na Belarus hajafika au hajaonekana.
Kuna hoja kwa wanao Amini.[emoji56][emoji56]
 
Nilimuona zelesky jana akisema eti Putin atakuwa anatetemeka na anaogopa na anauhakika Putin kashakimbia na hayupo Moscow! 🤣🤣🤣
 
Urusi ilishapoteza uelekeo siku nyingi sana, kwa wenye akili na waona mbali tulishajua ila kwenu nyie wajinga ndio mnababaika na kuleta viuzi vyenu humu vya kitoto
Sahihi kabisa....hii Vita imeshakuwa shubiri chungu kwa Urusi na Putin.
 
Urusi ilishapoteza uelekeo siku nyingi sana, kwa wenye akili na waona mbali tulishajua ila kwenu nyie wajinga ndio mnababaika na kuleta viuzi vyenu humu vya kitoto
Hivi ushawahi kwenda vitani? Russia uzuri wake akipigana hataki wapambe kama marekani.

Mhudumu wa vyakula wa Putin leo amgeuke Putin unajua nani kamuweka hio nafasi hata leo akawa mkuu wa Wagner?

Tokea Wagner wafanye hili tukio nitajie kijiji kimoja tu Ukrain wamerejesha mikononi mwao.

Usisahau mwezi tu nyuma Wagner walisema wapo short na ammunition unajua nani supplier wao?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…