Imekuwa utamaduni kuandaa mabango na vipeperushi zinapotokea ziara za viongozi wa kitaifa kukagua miradi au kuzindua miradi hata mikutano ya hadhara.
Mhusika atakuja na kila siku huonekana kwenye vyombo vya habari na anafahamika hata na watoto,inakuwaje tunamchora kwenye mabango?
Nani huwa analipia gharama hizo,haweza kutulipia Tozo za uzalendo?
Tuna mipango kweli ya kusonga mbele kama taifa ikiwa Tasaf wanagawa kuku mbilimbili kwa kaya kama mradi huku bango na vipeperushi na michoro ya viongozi inatumika kwa gharama kubwa.
Nini kipaumbele chetu? SIFA,KUJIPENDEKEZA,VYEO,au ujinga ndio mtaji