Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nimekusoma mimi nasubilia hapa hapa maana JF sometimes inaokoa unnecessary out za jioni, naanza na movie kwanza ngoja niangalie vichwa vya Hollywood then i will be back here.JB WISER hehehehehe. . . .nimekusoma.
Ehhhh nilikua busy nashibisha vichwa vya nyumbani kwangu. . .ngoja nikitulia ntatimiza ahadi.
Halafu kweli wanaume ambao kwa darasa sio vizuri hata mahusiano yao sio mazuri hawajui mapenzi kwa kweli(simaanishi kitandani
utaenjoy kwa kweli....
Ukisikiaga kuna Wanaume wanaolewa basi huwa wanaanzaga na fikra kama hizi zako, hivi wewe maisha ya watu wawili ndani ya nyumba yao unaweza ukasema kwamba wanaenjoy!! una ufahamu wowote wa kinachoendelea ndani ya nyumba wakibaki wawili?Hapa nakubaliana na wewe asilimia 150, nina dada zangu 4 wote wameolewa. Wawilli wameolewa na shule-less people halafu wawili wao wameolea na wanaume wenye shule zao. We can see clearly wale walioolewa na wanaume wenye shule wanavyo-enjoy life!
Ingekuwa hiyo ina hold sijui wengine tungekuwa wapi leo. Wengine wazazi wetu waliishia darasa la saba lakini watoto tulikuwa vipanga mpaka leo tuna initial kali na tuna hold position nzuri tunapofanyia kazi. Hapa utasemaje. Na wengine baba zao tunawajua ni wasomi waliobobea lakini watoto wakawa wajinga waliobobea katika masomo na maishani. Hapo utasemaje. Huyo dada akapimwe akili kwanza
utamuona tu hata kwenye 6 by 6 vile ulivyomfundisha ndivyo hivyo hivyo! habadiliki wala hasugui ubongo kufikiri, ila hapa hapa nitajipinga tena, niliwahi kuwa na mtu wa engineering pale, i used to get close to those pipo there coz my dad ni lecturer mpaka leo pale, so i had this guy, lecturer as well! in intensions za kuendelea kubaki ud, kuolewa na kuishi ud coz niekuwa raised kule mpaka naolewa. but this guy was '0' in bed jamani. UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIII kila ninavyomfundisha ni hacoupe kabisa, but alinipenda sana, na hajaoa mpaka leo coz of me. tuki-kiss anafumba machoooo weeeee mpaka! lolest nikabwaga manyanga nikasepa,!
sio kutembea na vyeti tu, pia personality ... how gentle, caring and nurturing you are, how think is your pocket etc.
Poleni vijana wa leo.
nachopenda kujua akili zinarithishwa from generation to generation?
Tuna mtoto wa Nyerere yuko humu kuna thread ameanzisha ukiisoma huwezi kuamini kama huyu ni mtoto tena First born wa Baba wa Taifa!nachopenda kujua akili zinarithishwa from generation to generation?
Ana ngomatatizo wanaume wanatuona wajinga sana... kwanza mtu kaamua kujizalia mwenyewe ... lazima awe selective atii
kuna genias mmoja ni dokta muhimbili ndo nammendea....
Sauti za Umeme The Big Show!!......JB WISER kicheko chako kimenichekesha!