Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smile nimecheka sana! Naunga mkono hoja kwa asilimia zote! Bora asiwe na mvuto lakini sio bongolala! Bongolala wa kiume ni noma! Asikuambie mtu.mimi nataka mrefu mweusi awe na mvuto maana mimi sina kuviile
ila division ziro hapana kwa kweli......
ziro ni noma heri lasaba wazazi wakakosa ada ......
si heri wewe mbeba box waalimu wa chekechea je?wabeba maboksi hatuna letu hapa. Gademu.
wewe watafuta nani.engeneer,architect,dokta,au kamwalimu ka chekechea?nimependa hiyo aidia ya dada....katumia akili sana.....
Ehehehhe!!... Mwanamke kamili kwahiyo ile Division four yangu niliyoambulia Form four hai meet ur requirements? Mwanaume kamili siyo mzembe bana ni matokeo tu ya Darasani lakini mtaani si haba.Sasa we unataka watu wawaandae kabisa watoto wao kuwa wazembe?
Alafu eti unasema ubaguzi. . .mbona nyie wanawake hua mnachagua (kwakuzingatia yale mpendayo) na sio mnachukua chukua tu?
Kumbe hii kitu ipo serious namna hii! Sasa wale wanaofaulu kwa kuiba pepa na kudesa inakuwaje hapa! Si unaweza ingia chaka!?
wewe watafuta nani.engeneer,architect,dokta,au kamwalimu ka chekechea?
Ila ndo maana wanasayansi wanashauri kabla ya kuoa uangalie history ya familia. Mie nimeamini its true. We unaoa mwanamke kashindwa shule, kichwa ya biashara hana, unataka nini hapo? Unazaa mataahira!
I see!!....sikuwahi kuwaza kwamba Maisha yanaweza kuwa complicated this much. anyway na mimi wacha niandae vigenzo vyangu nadhani siwezi kuoa wala kuzaa na msichana ambaye ukoo wao hawana atleast Maprofesa wawili na angalau PHD Holders watano, na Baba mkwe angalau kazini kwake awe kwenye level ya umeneja kama siyo CEO.nimependa hiyo aidia ya dada....katumia akili sana.....
usijali preta... Jamaa aliniacha form one form four ana wani ya saba,six ya tatu .... Ukijumlisha ya kwangu ya kumi na tano na ya 7 six katoto ketu katakuwaje?mmh....mimi nimevutiwa huyo docta wako....napenda sana madoc....kwa sababu ni wa mkakati....najua ukimalizana nae utanipigia pande....
Kwahiyo Mwanahasha tatizo wapi hasa!? ni yule mmachinga au Mkwerre?hiyo idea ya huyo dada ni nzuri sana,na kama kuna ukweli fulani.maana sometimes unaiona familia,baba ana kazi nzuri,na ana elimu yake.na watoto wake wote wanafanya vizuri mashuleni.wanachofundishwa,automatic wanakielewa bila ya kuhangaika kusoma.
This is insult, is more than too much.Halafu kweli wanaume ambao kwa darasa sio vizuri hata mahusiano yao sio mazuri hawajui mapenzi kwa kweli(simaanishi kitandani
utaenjoy kwa kweli....
Ingawa alisimamia sana hoja yake, but mwishoni mi nilibaki na msimamo wangu kuwa huo ni ubaguzi kwani tukiangalia mambo kama hayo, wale 'mabongolala' tutakuwa extincted.
Kama kuna mwanamke ana mawazo kama haya humu, naomba tu ayaache, na aache ubaguzi...
Ehehehhe!!... Mwanamke kamili kwahiyo ile Division four yangu niliyoambulia Form four hai meet ur requirements? Mwanaume kamili siyo mzembe bana ni matokeo tu ya Darasani lakini mtaani si haba.
Ila ndo maana wanasayansi wanashauri kabla ya kuoa uangalie history ya familia. Mie nimeamini its true. We unaoa mwanamke kashindwa shule, kichwa ya biashara hana, unataka nini hapo? Unazaa mataahira!