AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
mara nyingi fumanizi likitokea utakuta polisi wamemfunga pingu mwanaume na mwanamke, na wanawasweka lupango. swali la msingi ni je? kuzini na mke wa mtu na wote mmevuka miaka 18 ni kosa? na mmefanya kwa hiari mkakubaliana hai guest ya kukutana mmefika pale wote mmesaula nguo mnaanza na fumanizi linatokea.
NB: hapa nataka kueleweshana tu masuala ya sheria ila sishabikii uzinzi au kuiba wake za watu.

hao hapo juu walifungwa pingu wale wazinifu na kupelekwa polisi.
wengine hawa hapa.

uyu mshikaji naye aliyekimbilia darini alipelekwa kituo cha polisi pamoja na mwanamke aliyekuwa anafanya naye mapenzi.