Kuzini na mke wa mtu kosa la jinai?

Kuzini na mke wa mtu kosa la jinai?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,897
mara nyingi fumanizi likitokea utakuta polisi wamemfunga pingu mwanaume na mwanamke, na wanawasweka lupango. swali la msingi ni je? kuzini na mke wa mtu na wote mmevuka miaka 18 ni kosa? na mmefanya kwa hiari mkakubaliana hai guest ya kukutana mmefika pale wote mmesaula nguo mnaanza na fumanizi linatokea.

NB: hapa nataka kueleweshana tu masuala ya sheria ila sishabikii uzinzi au kuiba wake za watu.

zaricopy.jpgUgoni4001.jpg

hao hapo juu walifungwa pingu wale wazinifu na kupelekwa polisi.

wengine hawa hapa.

2.PNGimages.jpg7.PNG

uyu mshikaji naye aliyekimbilia darini alipelekwa kituo cha polisi pamoja na mwanamke aliyekuwa anafanya naye mapenzi.

IMG_1325.JPG
 
ndoa ni mkataba baina ya wawili wenye nia ya dhati ya kuishi pamoja,hulindwa na sheria ya ndoa ya 1971 km inavofanyiwa marekebisho,mtu atakayezini na mmojawapo huweza kushtakiwa kwa jinai au madai
 
ndoa ni mkataba baina ya wawili wenye nia ya dhati ya kuishi pamoja,hulindwa na sheria ya ndoa ya 1971 km inavofanyiwa marekebisho,mtu atakayezini na mmojawapo huweza kushtakiwa kwa jinai au madai
samahani, wewe ni mwanasheria?
 
Lakini mwanandoa mmojawapo anaweza kushtaki mahakamani kwa kosa la madhara (tort). Hiyo kufungana pingu ni polisi tu wanalazimisha, labda kwa usalama wa waliofumaniwa
 
ndoa ni mkataba baina ya wawili wenye nia ya dhati ya kuishi pamoja,hulindwa na sheria ya ndoa ya 1971 km inavofanyiwa marekebisho,mtu atakayezini na mmojawapo huweza kushtakiwa kwa jinai au madai

Sasa mkuu nani wa kushtakiwa..mwanaume au mwanamke?nieleweshe apo
 
mtu ashitakiwe kwa kosa gani sasa hapo? na polisi anaingiliaje hapo kuongozana na mfumaniaji napingu mkononi? au wanataka tu akifika polisi wanamtajia mgoni kiasi chochote cha pesa ili wafute kesi ambayo hata haikuwepo.
 
Back
Top Bottom