AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
samahani, wewe ni mwanasheria?ndoa ni mkataba baina ya wawili wenye nia ya dhati ya kuishi pamoja,hulindwa na sheria ya ndoa ya 1971 km inavofanyiwa marekebisho,mtu atakayezini na mmojawapo huweza kushtakiwa kwa jinai au madai
samahani, wewe ni mwanasheria?
ndoa ni mkataba baina ya wawili wenye nia ya dhati ya kuishi pamoja,hulindwa na sheria ya ndoa ya 1971 km inavofanyiwa marekebisho,mtu atakayezini na mmojawapo huweza kushtakiwa kwa jinai au madai