Kuziona Azam vs Yanga 7000

Ni penati sasa...

Ona hawa watangazaji wa Azam TV....Eti Yanga lazima watafungwa penati kwa sababu si wazuri kwenye penati...Wtf
 
Hao ndio mabingwa watetezi wa ngao ya hisani na premier league
 
Hongereni wana wa Jangwani, hakika mmeonyesha kuwa ya jana si ya leo
 
Hongereni wana wa Jangwani, hakika mmeonyesha kuwa ya jana si ya leo

Kilimilimi cha Azam na shoga yake Simba tumekikata rasmi. Mjini pametulia, sasa tuendelee na kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.
 
Azam wameonesha si lolote si lolote kwa Mabingwa wa kihistoria wa nchi hii, Club kipenzi cha Watanzania Yanga Afrika.
Hongereni sana wanaYanga wenzangu wote.
 
Wale wa mchangani walikua wamejiandaa sana kuwashangilia mashost zao Azam. ..ndio basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…