Kuziona Azam vs Yanga 7000

Kuziona Azam vs Yanga 7000

Ni penati sasa...

Ona hawa watangazaji wa Azam TV....Eti Yanga lazima watafungwa penati kwa sababu si wazuri kwenye penati...Wtf
 
Hao ndio mabingwa watetezi wa ngao ya hisani na premier league
 
Azam wameonesha si lolote si lolote kwa Mabingwa wa kihistoria wa nchi hii, Club kipenzi cha Watanzania Yanga Afrika.
Hongereni sana wanaYanga wenzangu wote.
 
Wale wa mchangani walikua wamejiandaa sana kuwashangilia mashost zao Azam. ..ndio basi tena.
 
Back
Top Bottom