Kuzomeana kwa Simba na Yanga katika mechi za kimataifa hakuna faida zaidi ya hasara

Kuzomeana kwa Simba na Yanga katika mechi za kimataifa hakuna faida zaidi ya hasara

Walau tuliweka heshima kucheza fainali ya Shirikisho. Ebu niambie hatua yako kimataifa halafu tuone
Siku zote bingwa ndiyo hukumbukwa. Runners up sio ubingwa. Safari ya Kigoma ni kufika Kigoma. Haijalishi umerudia Moro au Tabora. Hujafika Kigoma!
Yanga tunaangalia the ultimate price. Hatujafanikiwa kama wengine!
 
Mataji gani ya kimataifa nye vyura FC mmeyaleta nyumbani,hiyo kauli ya kupanda ndege ni ushamba sasa hivi siyo timu tu kila mtu anapanda ndege,mechi zenyewe za mikoani wanapanda ndege,mkuu au we hujawahi panda ndege kwahiyo unaona ni jambo kubwa sana!
sio zile za mafeni.
 
Lazima upande sana ndege kupata mataji


Kwahiyo Nyie Yanga Munaopanda Ndege Kila Mwaka Na Kurudi Mikono Mitupu Mukiwa Mumebakwa Huwa Mataji Yenu Munayobeba Kwa Kupanda Ndege Munayasahau Kwenye Ndage au?
 
Yanga weanzisha hili, Simba hawana nongwa , Yanga jirekebisheni alfu pia muhame pale bondeni
 
Kwahiyo Nyie Yanga Munaopanda Ndege Kila Mwaka Na Kurudi Mikono Mitupu Mukiwa Mumebakwa Huwa Mataji Yenu Munayobeba Kwa Kupanda Ndege Munayasahau Kwenye Ndage au?
Kwani ulisikia kwamba Yanga kachezea LIBOLO ya Angola?
 
Mashabiki kitu gani. Suala muhimu ni kuiandaa timu vizuri
Mkuu utafiti tayari umeshafanywa siku nyingi na matokeo yake yalionyesha kuwa mashabiki uwanjani ni mchezaji wa 12, na dunia nzima imeshakubaliana na utafiti huo. wewe ni nani ubishane nao bila kufanya utafiti mwingine wa kuupinga ule wa awali? Watu wa aina yako ya kwako wanatugharimu hata kwenye siasa.
 
Mkuu umemaliza.

Umegusa kwenye vyanzo hasa vinavyorudisha soka letu nyuma.

Viongozi wanagombania kuingia Simba, Yanga na TFF kujaza matumbo yao ndio maana leo unasikia Rais wa Simba na wenzake na aliyekuwa rais wa TFF wana kesi zinazohusu pesa, Wambura anafungiwa kwasababu ya kutafuna pesa yaani hawawazi namna ya kusogeza soka mbele wanawaza kupiga pesa.

Simba na Yanga ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao wanashindwa na Azam timu ya juzi halafu mtu analeta porojo za kuwaza hizi timu kufika mbali kimataifa.
binafsi nimechoka kulisukia jina la mtu kama Richard Wambura, Rage, Al-Maamry, Hasaniol, madega kwenye soka, Akilimali, dalali, n.k kwenye soka. Wapo miaka nenda ruda soka limebaki palepale. Miaka 100 timu kubwa simba na Yanga hazina dira wala mwelekeo. Lakini kinachonishangaza zaidi kwanini hata Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Malawi, na kwingineko hali yetu ya soka inafanana?
 
Tuache pia kutambiana na dharau zisizokua na maana! Mfano jana simba ingeshinda ungemsikia Manara akileta tambo za kijinga na dharau dhidi ya Yanga! Hii ndio husababisha kuzomeana na kushabikia wageni!
Kabisa kabisa....na je wao simba au yanga wakienda huko huwa wanashangiliwa na timu pinzani za timu wanazocheza nazo au ni wale watanzania tu walioko huko au may be wana afrika mashariki kama wanacheza nje ya afrika mashariki?
 
Back
Top Bottom