Kaka kama unatumia Nokia 5130 XpressMusic basi unahitaji kuInstall program ambayo itafanya kazi ya kublock namba hizo ambazo hutaki zikupate,na kwa idea yangu ndogo hizi free software huwa zinakupa nafasi ya kublock namba 5 tu,ila ukinunua online unaweza ukapewa hata nafasi 10 zaidi. Sasa to cut the wrong story short jaribu kuitafuta hii software kwenye website hii hapa. www.getjar.com
Humu ndani ya hii website uta click kitufe kimeandikwa search,utaandika Black list then getjar watakuletea software zinazoendana na blacklist au blacklist software yenyewe,download na uanze kuitumia ni rahisi unaingiza namba ya mtu tu alafu kitu hichoooooo!!!!