KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo prog ipo ila cm sina mazoea nayo sana ila tafuta sehemu yenye neno[black list] hapo ingiza namba zote usizozihitzji zikupigie.
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music
Kaka kama unatumia Nokia 5130 XpressMusic basi unahitaji kuInstall program ambayo itafanya kazi ya kublock namba hizo ambazo hutaki zikupate,na kwa idea yangu ndogo hizi free software huwa zinakupa nafasi ya kublock namba 5 tu,ila ukinunua online unaweza ukapewa hata nafasi 10 zaidi. Sasa to cut the wrong story short jaribu kuitafuta hii software kwenye website hii hapa. www.getjar.com
Humu ndani ya hii website uta click kitufe kimeandikwa search,utaandika Black list then getjar watakuletea software zinazoendana na blacklist au blacklist software yenyewe,download na uanze kuitumia ni rahisi unaingiza namba ya mtu tu alafu kitu hichoooooo!!!!
vp kuhusu sisi watu tunatumia nokia 6300 zinaweza kusuport kweli?