BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Waliingia wangapi mkuu? yaani idadi ya waliozidi ilikuwa ni watu wangapi? Nini source ya information unayotupatia hapa?Acheni kulaumu CAF bila sababu za msingi. Mechi ya Simba na Al Ahly, kuna idadi kadhaa ya mashabiki waliruhusiwa, ila kutokana na kutopenda kufuata utaratibu, idadi ilikiukwa, wakaingia washabiki wengi zaidi.
Hii ndio imepelekea uhamuzi huu.
Penda kufatilia habari za timu yako vizuri. Haya maswali yote ungekuwa unayajua.Waliingia wangapi mkuu? yaani idadi ya waliozidi ilikuwa ni watu wangapi? Nini source ya information unayotupatia hapa?
Naomba majibu tafadhali.
Hayo ndiyo majibu ya maswali yangu? kweli kabisa ukifiria mara mbili unahisi hayo maswali yapaswa kujibiwa hivyo ulivyojibu?Penda kufatilia habari za timu yako vizuri. Haya maswali yote ungekuwa unayajua.
Pia kwa kuongezea ungekuwa unajua ni nani aliyeripoti ili swala CAF.
Mkuu sio jukumu langu kujibu maswali yako, vile ambavyo wewe unapenda ujibiwe.Hayo ndiyo majibu ya maswali yangu? kweli kabisa ukifiria mara mbili unahisi hayo maswali yapaswa kujibiwa hivyo ulivyojibu?
Siku nyingine ukiandika kitu na huna uhakika nacho ni bora kueleza kwamba huna uhakika lakini kuandika kitu vile una uhakika nacho tena bila source yeyote siyo poa kwa kweli,ni hayo tu.Mkuu sio jukumu langu kujibu maswali yako, vile ambavyo wewe unapenda ujibiwe.
Nilipost nilichokiandika kule juu kabisa kwa lengo la kumpa hint aliyeanzisha uzi, sababu hasa ya kutokea kwa kilichotok
Hawezi kuelewa upotolo umemjaaUmeelewa hoja yangu?
Hasa mleta sredi ukigusa simba au chadema analalama kama msimbeUmegonga kwenye point.
Social distancing haikuzingatiwa. WaTz tusiwe watu wa kulalama bila kufikiri.
Siwezi andika kitu ambacho sina uhakika nacho, ilo la kwanza, la pili, uvivu wako isiwe chanzo cha kuni angahisha mimi, kila kitu kipo wazi, ila umeamua tu kukaza ubongo.Siku nyingine ukiandika kitu na huna uhakika nacho ni bora kueleza kwamba huna uhakika lakini kuandika kitu vile una uhakika nacho tena bila source yeyote siyo poa kwa kweli,ni hayo tu.
vipi kuhusu zile points z’zetu’ 3 za mezani kutoka kwa al mereikh ??? Naanza kuhisi hawa CAF ni wananchi hawa!
ChutamaSiwezi andika kitu ambacho sina uhakika nacho, ilo la kwanza, la pili, uvivu wako isiwe chanzo cha kuni angahisha mimi, kila kitu kipo wazi, ila umeamua tu kukaza ubongo.
Any way, niishie hapa. Chochote utakachosema next, upo sawa.
Kwani tuliwakataza kuweka mashabiki uwanjani?Wakati ukilalamika hilo, fikiria mechi ya Simba dhidi ya Plateau, platinum, na Al Ahly ambazo zote hizo Simba wamecheza na kujaza washabiki uwanjani wakati timu pinzani zimecheza pasipo na washabiki dhidi ya Simba (plateau United, platinum fc na As Vita)
Kwani covid ye2 inawahusu nn wao, sie 2lishasema hakuna covid kwe2,na data znasema hivo, sa wao inawahusu nn!?pia Covid ipo bongo kwann wasizuie mikusanyiko isiyo na lazima . Nawaza tu kwa sauti
Nimeelewa hoja yako. Hiyo double standard unayolalamikia ungeleta uzi kipindi ambacho Simba ananufaika na uwepo wa mashabiki uwanjani , wakati timu zingine zikichecheza pasipo na mashabikiUmeelewa hoja yangu?
Basi pinganeni na CAF nendeni mkaujaze uwanja wa Mkapa kesho. Hao hao CAF kuna timu zimeomba ziingize mashabiki elfu tano, wakakataliwa wakaambiwa waingize washabiki elfu moja tu. Kwahiyo hata timu zingine zinatamani kuingiza mashabiki lakini CAF ndio inayoleta vipingamiziKwani tuliwakataza kuweka mashabiki uwanjani?
PointKwenye kundi letu nafikiri tumeathiriwa na Al Ahly hii team ina sauti sana CAF.
Kimahesabu al ahly anaweza toka makundi safari hii. Kama kesho anapigwa na vita. Then sisi tushinde. Halafu yeye akitufunga kwao anakuwa na point 7. Wakati huo vita nae kamfunga msudani point 10.
Then game ya mwisho sisi na vita point kumi wote hata tukitoka sare mwarabu anakuwa katoka[emoji1787] maana sisi na vita tutakuwa na point 11. Yeye al ahly point 10.
Acha kujibu hoja kwa mihemuko.Basi pinganeni na CAF nendeni mkaujaze uwanja wa Mkapa kesho. Hao hao CAF kuna timu zimeomba ziingize mashabiki elfu tano, wakakataliwa wakaambiwa waingize washabiki elfu moja tu. Kwahiyo hata timu zingine zinatamani kuingiza mashabiki lakini CAF ndio inayoleta vipingamizi
Kwani hiyo fairness unaitafsiri vipi? Maana ukiangalia kuzuia washabiki wasiingie uwanjani kwenye uwanja wa Mkapa dhidi ya Al Merreikh, pia ni fairness imetumika. Kwasababu mechi ya Al Merreikh vs Simba ilichezwa pasipo mashabiki uwanjani hivyo wanarudiana kwa kufuata usawa kama ilivyokuwa mechi iliyofanyika Sudan.Acha kujibu hoja kwa mihemuko.
CAF hao wenyewe wamezuia watazamaji uwanjani kwa hoja ya mambo ya fairness. so hiyo fairness inatoka wapi kama baadhi ya timu unaruhusu mashabiki nyingine unakataza?
ni jibu kwanza swali hili. mechi ya simba na el mereck pia as vita timu za nyumbani hazikuwa na mashabiki je yalikuwa ni maelezo toka CAF?Kwani hiyo fairness unaitafsiri vipi? Maana ukiangalia kuzuia washabiki wasiingie uwanjani kwenye uwanja wa Mkapa dhidi ya Al Merreikh, pia ni fairness imetumika. Kwasababu mechi ya Al Merreikh vs Simba ilichezwa pasipo mashabiki uwanjani hivyo wanarudiana kwa kufuata usawa kama ilivyokuwa mechi iliyofanyika Sudan.