MankaM, dawa ya asili ya kuzuiaa mimba ni mwanaume wako kukata viuno kwa style ya sindimba wakati wa majamboz.Naombeni kujua dawa za asili za kutumia ili kuzuia ujauzito
majivu koroga kwenye maji jaza ujazo wa chupa ya soda nzima then kunywa baada ya kungonoka
MankaM, dawa ya asili ya kuzuiaa mimba ni mwanaume wako kukata viuno kwa style ya sindimba wakati wa majamboz.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/561150-mwanaume-kukata-kiuno-hii-ikojee.html
Wazee wetu walitumia sana nyonyo. Fuata ushauri wa mdau hapo juu. Achana na hizi za kisasa wanazoandikia mamilioni ya pesa kutudhuru kwa kansa na upofu huku wao wakiongeza magari,majumba na sheli kwa watoto wao nchi nzima.