Kuzuia mimba kwa dawa za asili

Kuzuia mimba kwa dawa za asili

yamekusibu tayari ama bado? Ijue vema kalenda yako tu, kwisha matatizo, ama kama mtuwo ni mtaalamu mwambie amwage nje eti
 
mnh si utumie calender tu,hayo mengine utaishia kupata saratani bureee
 
majivu koroga kwenye maji jaza ujazo wa chupa ya soda nzima then kunywa baada ya kungonoka
 
mamaaaaa majivu na ile radha uwiiii jaman si utumbo utakatika
 
yamekusibu tayari ama bado? Ijue vema kalenda yako tu, kwisha matatizo, ama kama mtuwo ni mtaalamu mwambie amwage nje eti

mwenzangu nashangaa maana naona kimya sijui kitu tayar?? Toka juzi eti nasubir
 
bint yangu pole..mbegu za mnyonyo ndo njia mbadala..mwanzo meza mbegu tatu then kila mwezi unameza mbegu moja...utakuja hapa kutoa ushuhuda
 
Wazee wetu walitumia sana nyonyo. Fuata ushauri wa mdau hapo juu. Achana na hizi za kisasa wanazoandikia mamilioni ya pesa kutudhuru kwa kansa na upofu huku wao wakiongeza magari,majumba na sheli kwa watoto wao nchi nzima.
 
hizo mbegu zinapatikana wapi mkubwa
 
Wazee wetu walitumia sana nyonyo. Fuata ushauri wa mdau hapo juu. Achana na hizi za kisasa wanazoandikia mamilioni ya pesa kutudhuru kwa kansa na upofu huku wao wakiongeza magari,majumba na sheli kwa watoto wao nchi nzima.

shukrani pia amani kwako
 
Back
Top Bottom