Hakuna wa kurusha ngumi! Upende usipende JPM ni Rais hadi 2025. Iwe kwa kura halali au kuibaTukisema kuwa mnaishi kwa wizi mnarusha ngumi hewani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kurusha ngumi! Upende usipende JPM ni Rais hadi 2025. Iwe kwa kura halali au kuibaTukisema kuwa mnaishi kwa wizi mnarusha ngumi hewani
Habari za kuiba hiyo wasahauHakuna wa kurusha ngumi! Upende usipende JPM ni Rais hadi 2025. Iwe kwa kura halali au kuiba
Wasiogope uwanja wanakubalika
Imefika wakati tusiishi kwa mazoea, NEC ndiyo mnaishikilia amani ya nchi yetu. Tendeni haki washindi washinde na washindwa washindwe baada ya uchaguzi tubaki wamoja.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbona mgombea wao anakubalika amefanya makubwa kuliko hata wakoloni, wanamiliki kila kitu kuanzia tume, polisi, diamond,alikiba, harmonize sidhani Kama Wana haja ya kuogopa uwazi
CCM wanafikiri Watanzania ni wajinga,ngazi ya chama wanaonyesha kutenda haki kwa kuhesabu kura mbele ya umati wa wapiga kura,ila ukiwaambia kura za uchaguzi mkuu pia zihesabiwe hadharani watakuambia haiwezekani na wataenda kuhesabu kura sehemu ya sirini na hakuna kuhoji matokeo yakishatangazwa.Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ...
watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au nyingine.
Ili kutoa haki:
Nawashauri tume ya uchaguzi - NEC wahesabu Kura pale pale zilipopigiwa na wapiga kura wapewe matokeo yao hapo hapo baada ya upigaji kura.
Utaratibu huu ni mzuri na ni utaratibu ulifanyiwa majaribio na vyama vikubwa viwili -CCM pia CDM na unaonekana unafaa...mambo ya uwazi na ukweli kumuenxi Mzee Mkapa.
Hakuna sababu ya kubeba mabox kwenda sehemu sijui wapi kuhesabu tena...au kuhakiki..uhesabuji na uhakiki ufanyike vituoni;
NEC wapelekewe tu jumla ya matokea vituoni kwa njia ya mtandano/ internet ambayo itakakuwa live kama kule Kenya walivyofanya na ndio tutajua mshindi ni nani bila manung'uniko au wala hizi mambo ya kuwaingiza watu barabarani...
Mwisho
kama kila kituo ni wapiga kura 500, haitawachukua hata masaa mawili kuhesabu hizo kura na kuhakiki kabla ya kutangaza hapo hapo ni nani mshindi wa kituo.
Ni hayo tu kwa leo, Nguchiro, mchwa na sisimizi wanaishi nyumba moja bila mkwaruzo, iweje sisi watanzania tushindwe?
Uoga ndiyo adui wa UTU wa mwanadamu.Mtu mwoga anaweza kufanya lolote kwa sababu ya uoga wake,kwa bahati mbaya CCM Mpya hawakubaliki nao wanalifahamu hilo ndiyo maana hawataki Tume Huru ya Uchaguzi na wamejiandaa kuiba kura na kuhakikisha wanatangazwa washindi wa kishindo bila kujali wanachotaka wapiga kura(Wananchi Watanzania).Hii inatakiwa kuwa sababu tosha ya CCM kukataliwa na Watanzania wazalendo wa kweli kwa Taifa letu pendwa.Wasiogope uwanja wanakubalika
Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ...
watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au nyingine.
Ili kutoa haki:
Nawashauri tume ya uchaguzi - NEC wahesabu Kura pale pale zilipopigiwa na wapiga kura wapewe matokeo yao hapo hapo baada ya upigaji kura.
Utaratibu huu ni mzuri na ni utaratibu ulifanyiwa majaribio na vyama vikubwa viwili -CCM pia CDM na unaonekana unafaa...mambo ya uwazi na ukweli kumuenxi Mzee Mkapa.
Hakuna sababu ya kubeba mabox kwenda sehemu sijui wapi kuhesabu tena...au kuhakiki..uhesabuji na uhakiki ufanyike vituoni;
NEC wapelekewe tu jumla ya matokea vituoni kwa njia ya mtandano/ internet ambayo itakakuwa live kama kule Kenya walivyofanya na ndio tutajua mshindi ni nani bila manung'uniko au wala hizi mambo ya kuwaingiza watu barabarani...
Mwisho
kama kila kituo ni wapiga kura 500, haitawachukua hata masaa mawili kuhesabu hizo kura na kuhakiki kabla ya kutangaza hapo hapo ni nani mshindi wa kituo.
Ni hayo tu kwa leo, Nguchiro, mchwa na sisimizi wanaishi nyumba moja bila mkwaruzo, iweje sisi watanzania tushindwe?
Kuepuka yote hayo time na mamlaka zinazo husika zitende haki Kama wajibu wao was msingi,bila kupata maelekezo ama ushawishi kutoka upande wowote.Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ...
watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au nyingine.
Ili kutoa haki:
Nawashauri tume ya uchaguzi - NEC wahesabu Kura pale pale zilipopigiwa na wapiga kura wapewe matokeo yao hapo hapo baada ya upigaji kura.
Utaratibu huu ni mzuri na ni utaratibu ulifanyiwa majaribio na vyama vikubwa viwili -CCM pia CDM na unaonekana unafaa...mambo ya uwazi na ukweli kumuenxi Mzee Mkapa.
Hakuna sababu ya kubeba mabox kwenda sehemu sijui wapi kuhesabu tena...au kuhakiki..uhesabuji na uhakiki ufanyike vituoni;
NEC wapelekewe tu jumla ya matokea vituoni kwa njia ya mtandano/ internet ambayo itakakuwa live kama kule Kenya walivyofanya na ndio tutajua mshindi ni nani bila manung'uniko au wala hizi mambo ya kuwaingiza watu barabarani...
Mwisho
kama kila kituo ni wapiga kura 500, haitawachukua hata masaa mawili kuhesabu hizo kura na kuhakiki kabla ya kutangaza hapo hapo ni nani mshindi wa kituo.
Ni hayo tu kwa leo, Nguchiro, mchwa na sisimizi wanaishi nyumba moja bila mkwaruzo, iweje sisi watanzania tushindwe?
Wakipiga kura wengi watashindwa kuiba uzuri Mkapa hayupo,polepole na bashiru hawana ujanja huoUoga ndiyo adui wa UTU wa mwanadamu.Mtu mwoga anaweza kufanya lolote kwa sababu ya uoga wake,kwa bahati mbaya CCM Mpya hawakubaliki nao wanalifahamu hilo ndiyo maana hawataki Tume Huru ya Uchaguzi na wamejiandaa kuiba kura na kuhakikisha wanatangazwa washindi wa kishindo bila kujali wanachotaka wapiga kura(Wananchi Watanzania).Hii inatakiwa kuwa sababu tosha ya CCM kukataliwa na Watanzania wazalendo wa kweli kwa Taifa letu pendwa.
CCM wanaf
CCM wanafikiri Watanzania ni wajinga,ngazi ya chama wanaonyesha kutenda haki kwa kuhesabu kura mbele ya umati wa wapiga kura,ila ukiwaambia kura za uchaguzi mkuu pia zihesabiwe hadharani watakuambia haiwezekani na wataenda kuhesabu kura sehemu ya sirini na hakuna kuhoji matokeo yakishatangazwa.
Watanzania wanawatazama tu na hamtaamini siku wakisema imetosha,No Hate No Fear na wakadai haki zao.Nguvu ya Umma haijawahi kushindwa na jeshi lolote.
Ndo demokrasia na amani ya kweli watz hatutaki vurugu, vurugu uletwa na polisi.tukishinda tushinde kihalali, tukishindwa tushindwe kihalali
Na hivi wameshafahamu kuwa hawakubaliki,wanaanza vitisho kwa Wananchi out of desperation and stress.They are capable of doing anything to spare their regime, let's be careful. Our votes are very powerful,use it properly.Anaemiliki wananchi ndie mwenye mtaji wa nguvu na sio anaemiliki dola.
Yahaya Jameih alimiliki kila kitu kuanzia tume, polisi, wasiojulikana, mahakama,masanduku ya kura,dola yaani kila kitu,lakini wananchi walipomchoka walisema hapana kupitia sanduku hayo hayo.
So tukikosea again tumekwiishaa,