Uchaguzi 2020 Kuzuia watu kwenda Barabarani, Tume ya Uchanguzi fanyeni hili...

Imefika wakati tusiishi kwa mazoea, NEC ndiyo mnaishikilia amani ya nchi yetu. Tendeni haki washindi washinde na washindwa washindwe kwa haki ili baada ya uchaguzi tubaki wamoja.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wakifanikiwa kutumia huo utaratibu wa kuhesabu kutangaza pale pale itakuwa ni mwanzo wa kuijenga taifa letu
Imefika wakati tusiishi kwa mazoea, NEC ndiyo mnaishikilia amani ya nchi yetu. Tendeni haki washindi washinde na washindwa washindwe baada ya uchaguzi tubaki wamoja.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tume nyie shirikianeni na CCM kufanya yale mlifanya wakati wa chaguzi ndogo zote afu MUONE KITAKACHOTOKEA!!

Wewe TUME tenda HAKI hakuna wa kwenda barabarani, akafanye nini?
 
Mbona mgombea wao anakubalika amefanya makubwa kuliko hata wakoloni, wanamiliki kila kitu kuanzia tume, polisi, diamond,alikiba, harmonize sidhani Kama Wana haja ya kuogopa uwazi

Mhhh!
 
Ushauri mzuri nainawezekana ila kwahapa Tz hiiiiiiiii sidhani
 
CCM wanaf
CCM wanafikiri Watanzania ni wajinga,ngazi ya chama wanaonyesha kutenda haki kwa kuhesabu kura mbele ya umati wa wapiga kura,ila ukiwaambia kura za uchaguzi mkuu pia zihesabiwe hadharani watakuambia haiwezekani na wataenda kuhesabu kura sehemu ya sirini na hakuna kuhoji matokeo yakishatangazwa.
Watanzania wanawatazama tu na hamtaamini siku wakisema imetosha,No Hate No Fear na wakadai haki zao.Nguvu ya Umma haijawahi kushindwa na jeshi lolote.
 
Wasiogope uwanja wanakubalika
Uoga ndiyo adui wa UTU wa mwanadamu.Mtu mwoga anaweza kufanya lolote kwa sababu ya uoga wake,kwa bahati mbaya CCM Mpya hawakubaliki nao wanalifahamu hilo ndiyo maana hawataki Tume Huru ya Uchaguzi na wamejiandaa kuiba kura na kuhakikisha wanatangazwa washindi wa kishindo bila kujali wanachotaka wapiga kura(Wananchi Watanzania).Hii inatakiwa kuwa sababu tosha ya CCM kukataliwa na Watanzania wazalendo wa kweli kwa Taifa letu pendwa.
 
Kuepuka yote hayo time na mamlaka zinazo husika zitende haki Kama wajibu wao was msingi,bila kupata maelekezo ama ushawishi kutoka upande wowote.
 
Wakipiga kura wengi watashindwa kuiba uzuri Mkapa hayupo,polepole na bashiru hawana ujanja huo
 
Chama sio nchi vingi vilikufa na nchi zinasonga mfano Malawi, Kenya, Zambia, nk kwann tunang'ang'anie chama kisicho tija.
 

Anaemiliki wananchi ndie mwenye mtaji wa nguvu na sio anaemiliki dola.
Yahaya Jameih alimiliki kila kitu kuanzia tume, polisi, wasiojulikana, mahakama,masanduku ya kura,dola yaani kila kitu,lakini wananchi walipomchoka walisema hapana kupitia sanduku hayo hayo.
So tukikosea again tumekwiishaa,
 
tukishinda tushinde kihalali, tukishindwa tushindwe kihalali
Ndo demokrasia na amani ya kweli watz hatutaki vurugu, vurugu uletwa na polisi.
Check Lisu kapokewa Hakuna hata mmoja aliyeporwa simu au kukanyaga nyasi za alizopanda bashite.
Haki bin haki
 
Na hivi wameshafahamu kuwa hawakubaliki,wanaanza vitisho kwa Wananchi out of desperation and stress.They are capable of doing anything to spare their regime, let's be careful. Our votes are very powerful,use it properly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…