Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Bado hujajibu swali langu, technically, hizo features zinawezaje kuwa disabled?
Yani Apple wanaambiwa saa zote zilizopo Tanzania do not enable this feature? Is that possible? How is that done? By IP address?
Kama ni hivyo, vipi mtu aki VPN na ku bypass IP block, au akisafiri na kuunga simu kwenye IP system ya Dubai kwa mfano? Ata bypass hiyo block? Kama kuna kosa, Kosa la Apple au la huyo mtu hapo?
To answer my own question.
This looks like more of an IP restriction, by country.