Bado hujajibu swali langu, technically, hizo features zinawezaje kuwa disabled?
Yani Apple wanaambiwa saa zote zilizopo Tanzania do not enable this feature? Is that possible? How is that done? By IP address?
Kama ni hivyo, vipi mtu aki VPN na ku bypass IP block, au akisafiri na kuunga simu kwenye IP system ya Dubai kwa mfano? Ata bypass hiyo block? Kama kuna kosa, Kosa la Apple au la huyo mtu hapo?

Nafikiri ni IP address zaidi ya geographical location. Kwa sababu Geographical location unaweza kubadili kirahisi. IP Address si rahisi hivyo.Geographical location inaweza kuwa approximated kupitia location services kwenye device yako.. kama ukiruhusu apps kutumia location services (mfano. Health apps) taarifa za kimtandao (cellular) na gps zinaweza kuchukuliwa na kujua specifically unatumia kifaa kama saa au simu ukiwa graphical location ipi..
Ukijaribu kuzunguka security zilizopo kwenye os kwa njia tofauti tofauti unaweza kufanya kifaa kikafungiwa kupata huduma permanently (rendered useless)..
AGL (approximated geographical location).. location services hazifanyi kazi bila kuwa connected kwenye internet. Na kila device inakuwa assigned ip address na ISP so inamake sense..Nafikiri ni IP address zaidi ya geographical location. Kwa sababu Geographical location unaweza kubadili kirahisi. IP Address si rahisi hivyo.