Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
 
Samahani mtemi mkuu wa ACA, hivi mazingira unayoishi umezungukwa na nani (Namaanisha unaishi na nani ndani kwako). Unaonesha u mpweke sana mpaka unawaza ujinga ujinga. Mabandiko yako mengi ni ya kijinga jinga kabisa. Unajishushia heshima kwa jamii.

Nakushauri acha kuishi mwenyewe, tafuta watu wa kukuzunguka katika maisha yako ya kila siku.
 
Du !!
Moderator mfanye mawasiliano na Huyu mjue ni yeye au si yeye!!
Hii ni hatari aisee
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
Huyu jamaa sijui ana undugu na Hermorapa?Maana sio kwa utafutaji kiki huu!!
 
hili jamaa si bure kuna mtu kaliroga halafu mtu mwenyewe katangulia mbele ya haki maana kwa wehu huu lazima angemuonea huruma amponye.
Toka alipoanza kuja na tetesi zinazomuhusu naona sasa hivi angekuwa marehemu. Yani akiwaza jambo tu tayari kwake ni tetesi. Kwa speed hii inayokwenda nayo ipo siku ataamka aende ikulu aseme yeye ni raisi. Nahisi ana nasaba na Lipumba.
 
Again Deogratius ndani ya nyumba,Naomba ambaye yupo karibu naye njoo PM mi mfanyakazi pale milembe
 
Samahani mtemi mkuu wa ACA, hivi mazingira unayoishi umezungukwa na nani (Namaanisha unaishi na nani ndani kwako). Unaonesha u mpweke sana mpaka unawaza ujinga ujinga. Mabandiko yako mengi ni ya kijinga jinga kabisa. Unajishushia heshima kwa jamii.
Nakushauri acha kuishi mwenyewe, tafuta watu wa kukuzunguka katika maisha yako ya kila siku.

RED: Sio fair kumshambulia na kumwita mjinga mjinga.. Hii haim-define yeye tu, imeku-define hata wewe pia.

BLACK: Hajakujibu halafu unamshauri hapo hapo. Alikwambia anakaa mwenyewe?

MY TAKE: Kama unahisi anahitaji ushauri, muelimishe kwa upole. Huenda ana tatizo kweli, lakini kwa style hiyo kweli unamsaidia?

Sura kama baskeli!
 
Ndugu wana JF, sisi wote ni wamoja tuweke itikadi pembeni tumsaidie mwenzetu hii ni mental case, ni vizuri kwa wale wanaomfahamu physical watege mtego akamatwe kinguvu apelekwe hospitali, hii ndio njia pekee ya kumsaidia ndugu yetu kabla ugonjwa haujaingia next stage.

Sijaandika comment hii kama jokes ninamaanisha na nina uzoefu na watu kama hawa ilishawahi kumtokea mwenzetu tukadharau kuja kushtuka tunaambiwa alikuwa posta anagawa pesa tena siku hiyo amedraw pesa bank kama 10 m, akikuita njoo hapa laki ukiwa na bahati millioni kabisa.

Ndipo tuliamka usingizini na kumpeleka muhimbili bila yeye kujitambuwa tunampeleka wapi.

Huyu Deo Kisandu anahitaji msaada na si wa kuchekwa tena, wekeni siasa pembeni mwenzetu dish limeshacheza.
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
Kwani umewafanyaje hao jamaa. Usikubali haki yako ipotee
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
Huyu jamaa kusomea digrii ya matahira kumemuaribu sana asee akili zako sio bure kuna waya haupeleki moto vizuri....
 
kama milembe mbali,hapa kahama yupo mtaalamu mmoja ukimwona lzm akili itarudi tu.
 
Naomba serikali ifanye juhudi kumtibu huyu jamaa kama waliokaribu yake hawaoni ni kichaa
 
Back
Top Bottom