Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

Yaani huyu jamaa sijui.anafanya utafiti au??? Kwanza anayemjua huyu mtu je.ameoa?
 
Ha ha haa Mtemi,songa mbele utafanikiwa bora ujiamini tuu
 
huyu mwenzetu tusimkejeli wala kumtusi bali anahitaji msaada. ndugu zake au walimu wenzake waji-organise watafute mbinu ya kumpeleka kwenye tiba maana inavyoelekea hajitambui kuwa ana tatizo.
tunamhitaji apone upesi tuwe nae humu jf hadi hapo malaika yule atakapo shuka kuifungia mitandao ya kijamii.
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
Nkoyi Deo,
Mtu atakae kupuuza,kukuita mjinga na matusi mengine namwombea rehema kwa Mungu, asamehewe maana hajui atendalo.
Ninaamini unahitaji msaada toka kwetu ili hao wanaokuchokoza watulie na wasikusumbue tena.

Kwa wana JF, please tusimtukane mwenzetu, hali anayopitia si ya kutukanwa wala kuchekwa. Yaonekana kuna mengi yanamsonga, msaada ni kutotukanwa na kwa anayeweza kumsaidia ni vizuri kumsaidia ili aondokane na hivi vitu vinavyomsonga.
 
Kama ni kurukwa na akili , mkuu deogratius KISANDU upo kwenye "take-off stage" ya kuwa critical mental retarded being.
Msaada wa haraka unahitajika na ikiwezekana na deo kisandu fundraising ianzishwe mapema ili kupata fungu la kumpeleka milembe hosp for further measures.
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.

HUYU KAFIKIA STAGE MBAYA ,ANAPANGA KUTEMBEA UCHI MPAKA IKULU SASA HAPO MNASUBIRI NINI KUMPELEKA MILEMBE? SIJUI WATAALAMU WA MATATIZO YA AKILI/SAIKOLOJIA MNAIONAJE HALI YA NDUGU YETU HUYU, BAADHI WATADHANI TUNATOA MAONI YETU KWA NIA YA KUDHIHAKI, HAPANA, HILI TATIZO NI KUBWA, TUMSAIDIE.
 
Naomba serikali ifanye juhudi kumtibu huyu jamaa kama waliokaribu yake hawaoni ni kichaa
UK wana sheria inaitwa "Being sectioned" ni mental health act section 136, inayowapa polisi uwezo wa kumkamata mtu yeyote wanayehisi ana matatizo ya akili ili wampeleke mahala pa kupewa msaada bila ridhaa yake. Kama na hapo bongo kuna sheria kama hii ningeomba walio karibu naye wawashauri polisi wafanye hivyo kabla hajadhurika ama kudhuru wengine.
 
Uwaga nasema sana juu ya mtu na swala la dishi lake kucheza na watu wananibeza na kuniona kama nakebei jinsi hali yake ilivyo.
Uyu anapoelekea ni kubaya sana tena sana. Moderators wasipoangalia watapata kesi ya kujibu maana uyu mtu ni "Verified User" aisee.

Mungu muepushe na kikombe iko uyu ndugu yetu deogratious Kisandu
 
Kama sikosei Shaban Dede na Sikinde yake waliimba tuwe na huruma kwa wagonjwa.

Anahitaji msaada na si kuchekwa tena, hii ya leo nimethibitisha pasi na shaka yoyote huyu mtu iko gonjwa.
hahahaaaa
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
Umevuna kiasi gan cha fedha kwa kutuletea upuuzi huu!?
 
Hizi zote ni hasira dhidi ya utawal huu dharimu
 
kama kuna watu wapo jirani na huyu ndugu wampeleke hospitali kabla mambo hayajaharibika zaidi
Tena uengeleekeza hospitali ya kumpeleka pale Dodoma. Awah maana kadri siku zinavyosonga napata mashaka makubwa
 
Back
Top Bottom