Kuzuka kwa Kampuni za kubahatisha/kubashiri

Mzee wa Wima

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
537
Reaction score
296
Habari za usiku wadau.kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekaa na kufikiri ssijapata jibu kuhusu kuzuka kwa kampuni hizi je ni moja ya kukua kiuchumi au ni ugumu wa maisha unasababisha watu wenye uwezo flani kuanzisha hii michezo ili kupiga pesa zetu..
 
Kila zama na matukio yake, kila kitu huanzishwa kisha kuenea sehemu mbalimbali.
Kwa hii michezo ya betting imeanzishwa siku nyingi huko ughaibuni, huku kwetu tunaishangaa kwa sababu imefika hivi karibuni.
Hii ni sawa na jambo lolote lililoanzia huko na lilipofika kwetu tulionekana kulishangaa na kuongea mengi juu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wanalipa kodi tatizo liko wapi?wajeeee tu kwa wingi. Serikali ya awamu ya 5 inaitaji kodi,kodi,kodi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…