Warren T
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 664
- 409
Bila jua kusingekuwapo magari, tv, pasi, meli, nguo, nyumba, pikipiki, bicycle, kitanda wala chochote!! Kumbuka vitu kama vile nguo,(pamba), kitanda (mbao) vinatokana na mimea ambayo haiwezi kuishi bila jua kwani mimea hiyo hujitengenezea chakula chake kutokana na jua!!