Jua ni mojawapo ya mabillion ya nyota zilizopo angani, kwa hiyo ninapozungumzia jua maana yake nazungumzia nyota pia!.... Energy ya nuclear inatokana na madini ya uranium ambapo nyota(jua) linahusika kama hii link inavyoelezea Cosmic Origins of Uranium - World Nuclear AssociationKuna energy inayotokana na nuclear forces, kuna energy za matetemeko ya ardhi zinazotoka ndani ya dunia, hazitoki kwenye jua.
Unapoangalia nyota unaona mwanga unaotoka katika nyota hizo, mwanga huo hautoki katika jua.
Jua ni nyota lakini nyota zote si jua.Jua ni mojawapo ya mabillion ya nyota zilizopo angani, kwa hiyo ninapozungumzia jua maana yake nazungumzia nyota pia!.... Energy ya nuclear inatokana na madini ya uranium ambapo nyota(jua) linahusika kama hii link inavyoelezea Cosmic Origins of Uranium - World Nuclear Association
Nguvu za matetemeko ya aridhi na volcanic eruption pia zinatokana na nguvu za jua kama hii link inavyoeleza! Cosmic-solar radiation as the cause of earthquakes and volcanic eruptionsKuna energy inayotokana na nuclear forces, kuna energy za matetemeko ya ardhi zinazotoka ndani ya dunia, hazitoki kwenye jua.
Unapoangalia nyota unaona mwanga unaotoka katika nyota hizo, mwanga huo hautoki katika jua.
Do not confuse correlation with causation.Nguvu za matetemeko ya aridhi na volcanic eruption pia zinatokana na nguvu za jua kama hii link inavyoeleza! Cosmic-solar radiation as the cause of earthquakes and volcanic eruptions
Hata kama nyota zimekuwa formed by nebulas mimi interest yangu haipo kwenye kujadili kuwa nyota zimekuwa formed kwa nguvu gani, mimi interest yangu kwa sasa ni kuwa Our universe is powered by stars!!Jua ni nyota lakini nyota zote si jua.
Kwa hiyo ukisema energy yote duniani inatoka kwenye jua wakati nyingine inatoka katika uranium iliyotoka katika supernovae iliyotokea baada ya nyota isiyo jua kulipuka, utakuwa unapotosha.
Na kama unaongelea energy kutoka kwenye nyota, na nyota nazo zimekuwa formed na nebulaes, kwa hiyo hata nyota si vyanzo vya energy.
Kama unaleta vifungu na link kuwa jua halihitajiki na mimi nitaleta link kibao pia kuwa jua linahitajika!!Do not confuse correlation with causation.
Soma sababu ya earthquakes hapa.
Jua halihitajiki.
Why Do Earthquakes Happen?
Unataka mashindano au kuelewa?Kama unaleta vifungu na link kuwa jua halihitajiki na mimi nitaleta link kibao pia kuwa jua linahitajika!!
Mimi kutaka kutetea hoja yangu kwa kutumia facts and literature review ni mashindano mkuu???.... Na nimeshasema hapo nyuma kwamba nilirefer jua kama nyota, sasa nashangaa hilo suala la uranium kutokana na nyota unalishikilia la nini!!!Unataka mashindano au kuelewa?
Kwanza umesema nguvu zote zinatoka katika jua, nikakusahihisha kwamba nyota zote si jua.
Nuclear energy inayotoka katika uranium ambayo imetokea katika supernovae ya nyota isiyo jua imetoka kwenye jua?
Lakini unakubali kwamba jua ni nyota, lakini si nyota zote ni jua?Mimi kutaka kutetea hoja yangu kwa kutumia facts and literature review ni mashindano mkuu???.... Na nimeshasema hapo nyuma kwamba nilirefer jua kama nyota, sasa nashangaa hilo suala la uranium kutokana na nyota unalishikilia la nini!!!
Kwa sababu hazipo karibu vya kutosha....ok naona vumbi limetulia kidogo, kama kitu chenye uzito mkubwa kinakivuta chenye uzito mdogo, kwanini dunia/sayari zisielekee uelekeo lilipo jua lenye usito mkubwa?
Kwa sababu hazipo karibu vya kutosha.
Ukweli ni kwamba sio tu chenye uzito mkubwa kinavuta chenye uzito mdogo tu, bali chenye uzito mdogo nacho kinakivuta chenye uzito mkubwa.Pia dunia inataka kwenda perpendicular (angular momentum) na jua kwa mwendo wa km 3 kila sekunde. Dunia haiendi pembeni kwa mwendo wa kutosha kutoroka nguvu za jua, lakini haijakaa kukubali kuanguka kwenye jua kabisa na hivyo haiangukii huko.
Kwa Zaidi soma hapa
Kiongozi nina shida na wewe nicheki PM please....Ahsante comrade, na nikupongeze kwa kujitahidi kuelezea haya mambo kwa kiswahili, sio kazi ndogo.
Nimeshatii agizo mkuu, kwema? Tunapata darasa mujarab na kuongeza uelewa wa mambo! Shule zingine sio lazima uingie darasani haza kwenye hizi zama za utandawazi na maendeleo ya teknohama.Kiongozi nina shida na wewe nicheki PM please....
Itaangukia kwenye sayari yoyote iliyokaribu nayo,ambayo nguvu yake ya uvutano ni kubwa.umesema dunia/sayari isipokuwa na uvutano na jua itaanguka unaweza kuniambia itaangukia wapi..?
HIVI HAO VIUMBE NI KWELI AU STORY TUWatakuwa wameiroga hawa allien