Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Yerricko kaisha kibwege sanaKitabu cha ujasusi wa dola na uchumi ni takakataka tupu za kubumba zilizokusanywa na jasusi uchwara.
Mleta uzi amefanya hiyo asilimia iongezeke!!??
PuWanaoweza kubadilisha mambo ya Nchi ni wenye Nchi, siyo ziara ya urusi
Punguza shobo anti, Yericko kaishaje wakati unakesha kwenye kurasa zake kufuatilia kila anachopost?Yerricko kaisha kibwege sana
Waulize Iran kwanza.....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.
Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.
Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.
Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola milioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.
Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Hapa JF hatutakuacha upotoshe tutakupiga Nyundo tuPu
Punguza shobo anti, Yericko kaishaje wakati unakesha kwenye kurasa zake kufuatilia kila anachopost?
Huna uwezo wa kumpinga yeriko kwa hojaHapa JF hatutakuacha upotoshe tutakupiga Nyundo tu
Mbwa wewe msaliti wa mbutuPu
Punguza shobo anti, Yericko kaishaje wakati unakesha kwenye kurasa zake kufuatilia kila anachopost?
Yericko Nyerere jitazame maana utaishia kutumika kama toilet paperRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.
Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.
Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.
Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola milioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.
Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Chawa Pro Max,teuzi utazisikia kwa wenzako.Pu
Punguza shobo anti, Yericko kaishaje wakati unakesha kwenye kurasa zake kufuatilia kila anachopost?
NakaziaChawa Pro Max,teuzi utazisikia kwa wenzako.