Kuzuru kwa Rais Samia Kremlin, kubadili Siasa, vyama vya siasa, Uchumi, Ulinzi na Usalama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.

Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.

Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.

Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola milioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!

Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.

Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!

Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!

Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Basi unajifanya mwenyewe ni mtaalam wa ujasusi wa kiuchumi kumbe ni CHAWA tu wa Kamanda MBOWE.

Wajuvi wa mambo tunafahamu fika hiyo ziara ni ya kwenda kutunukiwa tu PhD ya heshima. Nje ya hapo haina tija yoyote ile kwa nchi. Urusi inayopumulia mashine kutokana na vikwazo alivyowekewa na Marekani na nchi za Ulaya kutokana na vita vyake dhidi ya Ukraine, haina uwezo wa kuzisaidia nchi nyingine kiuchumi!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.

Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.

Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.

Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola milioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!

Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.

Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!

Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!

Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Acha ndoto, fikiria kiuhalisia. Mugabe baada ya kugombana na nchi za magharibi alikimbilia pia hukohuko urusi na China, mpaka wazimbabwe wanamchomoa kwenye urais aliacha nchi bado hoi. Kwa sasa kila ziku Zimbabwe inatumia platform za mikutano ya africa kuomba kurejesha uhusiano na magharibi. Warusi ovyo sana wanawatwanga watoto wa Ukraine huko kila siku kwa ubabe usio na msingi.
 
Kichwa kikubwa kisicho na akili ni mzigo mzito kwa shingo.
20260525_022229.jpg
 
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani
Bado nyie manyani tu toka kitambo mpaka Leo...

Huyu Mrusi mchovu anayepigana Ukraine mwaka wa 4 Sasa huku akipambana aondolewe vikwazo ana kipi cha kuwapa nyie mangedere.
 
Kiwanda/mgodi wa dola 1.2m hata Mkinga mmoja wa Kariakoo anajenga. We unakuja kuupamba eti mradi mkubwa wa Nyuklia Afrika Mashariki na kati! Ilikuwaje kuwaje binadamu wakaanza kukosa aibu?
Punguza utoto na dhihaka itazame dunia katika uhalisia wake.

Huyo Mkinga anayo elimu ya kuhakikisha huo mgodi unasimama na kuzalisha faida?.
 
  • Komredi Ali Sultani a.k.a Shetani kutoka Zanzibar alitembelea Soviet Union miaka 1950
  • James La Guma: Kiongozi mashuhuri wa Chama cha Kikomunisti cha Afrika Kusini (CPSA), ambaye alitembelea Moscow mnamo Novemba 1927 pamoja na Rais wa ANC Josiah Gumede kuhudhuria maadhimisho ya miaka kumi ya Mapinduzi ya Oktoba. Mikutano ya Comintern ya La Guma ilikuwa na ushawishi mkubwa katika kuunda sera ya awali ya kikomunisti kuelekea Afrika Kusini.
  • Moses Kotane: Mwanachama mkuu wa SACP na ANC. Alisafiri hadi Moscow mwanzoni mwa miaka ya 1930 kuhudhuria Shule ya Kimataifa ya Lenin. Baadaye alitumia muongo mmoja wa mwisho wa maisha yake akipokea matibabu huko na akafa huko Moscow mnamo 1978.
  • Brian Bunting: Mwandishi wa habari na mwanasiasa wa SACP ambaye, pamoja na mkewe Sonia, alikuwa mmoja wa wakomunisti wa kwanza wa Afrika Kusini kutembelea USSR baada ya Vita vya Pili vya Dunia, alipowasili mwaka wa 1954.
Kwa hivyo kusema ukweli nzima za Zanzibar na Union of South Africa ndizo zilikuwa kwa ukaribu sana na Russia siyo Tanganyika
Nyerere alikuwa wa nchi gani?
 
Back
Top Bottom