Kuzuru kwa Rais Samia Kremlin, kubadili Siasa, vyama vya siasa, Uchumi, Ulinzi na Usalama

Basi unajifanya mwenyewe ni mtaalam wa ujasusi wa kiuchumi kumbe ni CHAWA tu wa Kamanda MBOWE.

Wajuvi wa mambo tunafahamu fika hiyo ziara ni ya kwenda kutunukiwa tu PhD ya heshima. Nje ya hapo haina tija yoyote ile kwa nchi. Urusi inayopumulia mashine kutokana na vikwazo alivyowekewa na Marekani na nchi za Ulaya kutokana na vita vyake dhidi ya Ukraine, haina uwezo wa kuzisaidia nchi nyingine kiuchumi!
 
Acha ndoto, fikiria kiuhalisia. Mugabe baada ya kugombana na nchi za magharibi alikimbilia pia hukohuko urusi na China, mpaka wazimbabwe wanamchomoa kwenye urais aliacha nchi bado hoi. Kwa sasa kila ziku Zimbabwe inatumia platform za mikutano ya africa kuomba kurejesha uhusiano na magharibi. Warusi ovyo sana wanawatwanga watoto wa Ukraine huko kila siku kwa ubabe usio na msingi.
 
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani
Bado nyie manyani tu toka kitambo mpaka Leo...

Huyu Mrusi mchovu anayepigana Ukraine mwaka wa 4 Sasa huku akipambana aondolewe vikwazo ana kipi cha kuwapa nyie mangedere.
 
Kiwanda/mgodi wa dola 1.2m hata Mkinga mmoja wa Kariakoo anajenga. We unakuja kuupamba eti mradi mkubwa wa Nyuklia Afrika Mashariki na kati! Ilikuwaje kuwaje binadamu wakaanza kukosa aibu?
Punguza utoto na dhihaka itazame dunia katika uhalisia wake.

Huyo Mkinga anayo elimu ya kuhakikisha huo mgodi unasimama na kuzalisha faida?.
 
Nyerere alikuwa wa nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…