Kuzuru kwa Rais Samia Kremlin, kubadili Siasa, vyama vya siasa, Uchumi, Ulinzi na Usalama

Nyerere alikuwa wa nchi gani?

Julius Nyerere historia yake imejaa mapungufu na imetengenezwa kumkuza kuliko ilivyo uhalisia wa mambo hususan uhusiano wake na Russia.

Mataifa ya Zanzibar na Union of South Africa ndiyo walikuwa makomredi wa ukweli wakomunisti walioeleweka kiitikadi na Moscow kuhusu siasa zao za kikomunisti siyo utapeli wa African Socialism yaani Ujamaa wa Kiafrika wa Julius Nyerere ambao Sovieti Union uliona ni itikadi mpya ambayo haina uumini wa kweli.
 
Hili jamaa Hua ni bwege Sana nashangaa hata watu wanaonunua vitabu vyake vya kichoko

Unanunua kitabu cha jitu lenye uwezo mdogo wa kufikiria kama hili ili iweje

Mtu ambae Hana discipline hata na mwili wake tumbo kubwaaa unawezaje kujifunza kitu kutoka kwake
 

03 June 2026

PUTIN HUMILIATED / PUTIN AVUNJIWA HESHIMA MBELE YA WAGENI WAKE WA KIMATAIFA

View: https://m.youtube.com/watch?v=raENbx5DLnISt. Petersburg Mji wa nyumbani kwao Putin washambuliwa leo asubuhi kwa drones kibao za Ukraine

Moshi unaonekana ukitanda angani huko St. Petersburg huku wageni wa Putin wakijiuliza kulikoni kuna usalama kweli katika taifa hili kiasi drone za Ukraine zimesafiri umbali mrefu kupiga mji huu uliopo mbali na mpaka wa nchi kwenye uwanja wa vita

Profesa Gerdes anafanya uchambuzi wa tukio hili la mji uliokusanya wageni kwa mkutano huu mkubwa uliobatizwa Mkutano wa Davos wa Russia unaleta picha gani kwa wageni waliofika walioongozana na waandishi wao kibao wa kigeni kisha kuona miale ya moto na moshi ikipaa angani katika mji huu wa kimkakati wenye bandari, matanki ya mafuta kwa ajili ya kuuza nje.ya nchi pia mji tajwa wa kitalii wa Russia


Ukraine launched roughly 310 drones into Russia overnight, striking targets around St. Petersburg just as Putin's flagship economic forum was opening.

The attacks hit the St. Petersburg Oil Terminal, the Kronstadt area where the Baltic Fleet corvette Boyki was in dry dock, the Progress plant tied to aviation and missile control systems, and other Russian oil infrastructure.

The timing turned the forum into a public embarrassment: smoke was visible near the venue, air travel over St. Petersburg was suspended, residents filmed the strikes despite harsh new laws, and Russian commentators admitted Ukraine was landing blows against both real targets and the government's image.
Chapters
00:00 Putin Gets a Black Eye
00:30 Ukraine Sends 310 Drones Into Russia
00:51 St. Petersburg Oil Terminal and Other Targets Hit
01:33 Ukraine Strikes the Boyki Near Kronstadt
02:28 Russia's Oil Infrastructure Keeps Burning
02:53 Smoke Rises Before Putin's Economic Forum
04:04 Ukraine Delivers a Fiery Keynote
04:36 St. Petersburg Security Gets Exhausted05:19 Smoke Visible From the Forum
06:01 Residents Film the Burning Oil Depot
06:28 Air Travel Over St. Petersburg Suspended
06:46 The Forum Is Only 17 Kilometers Away
07:16 Russian Bloggers Admit the Image Damage
07:59 No Air Raid Alarm in Putin's Home City
09:03 Zelensky Allows Moscow's Parade, Not Putin's Forum
09:37 Melitopol and the Progress Plant
10:03 Russia's Drone Attack on Ukraine
10:28 Tracking Russia's Missile Production Pace
11:34 Ukraine Intercepts 189 of 198 Drones
11:49 Russia Hits a Farm in Kharkiv
12:16 An Aerobatic Pilot Hunts Shaheds
12:48 Russia's Battlefield Losses Keep Climbing
13:16 Record Seven-Day Equipment Losses
13:59 Where Russia Is Pressing the Front
14:27 Fire Point Gets the Shout Out
14:49 St. Petersburg's Drone Technology Irony
15:24 Robots at the Economic Forum
16:09 Putin's Forum Ends With a Black Eye
 
Jasusi ambae hajui hata maana ya ujasusi kuna watu walikua wanasoma vitabu vya huyu jamaa kweli?
 
Urusi isha jichokea, Ukreni anajipigia tu, Wewe ni mjinga sana
 
Yetu macho tu, tunasubiri unyakuo tu😁,kama wa pale Venezuela
 
This is faulty thinking at best!

Bila Western partners kumpiga chini, fazafaka hakuwa na mpango wowote wa kuanza kumlegezea chupi Putin. Sasa hivi hana options zingine zaidi ya kujiuuza kwa tyrants wenzake!
Hiyo project ya uranium na urusi ni ya miezi hii nane tangu oktoba?..tumia kichwa vizuri
 
Hiyo project ya uranium na urusi ni ya miezi hii nane tangu oktoba?..tumia kichwa vizuri
Wewe ndiyo hutataki kushughulisha brain yako. Kwani fazafaka ameanza October 2025 kutofautiana na Westerners? October 2025 kilikuwa kilele tu mparaganyiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…