Kwa hiyo kwa sasa mama anaiona US au EU kama kituo cha polisi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.
Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.
Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.
Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola Bilioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.
Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Punguza kuandika usichokijua kisa huipendi serikali iliyopo ikulu. Yameongelewa mengi makubwa ya kiuchumi.Pita machimboni utaona mamia ya wachimbaji wamewekeza zaidi ya hiyo. Tena wachimbaji wadogo. Yaani nchi inashangilia uwekezaji wa 1.2m usd kutoka nje!!?
Mlitaka twende wp Russia ni nyumbani kwa Tanzania wanaojua wanajua !!Ni Aibu sana! Kutoka kuwa kamanda hadi kuwa chawa, ni anguko la kutisha!
Nje ya madaMlitaka twende wp Russia ni nyumbani kwa Tanzania wanaojua wanajua !!
Cha kujiuliza hakukuwa na maandamano yoyote barabarani sehemu salama kwa Viongozi wetu✅️
lkn angekuwa uko Ulaya au Marekani Vishoga vingejazana Barabarani
kawaida ya Mashoga upendelea sana matukio matukio japo wajioneshe Barabarani!!
Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwasasa ipo mbele ya Muda
Mataifa yenye kuunga mkono haki za Mashoga hawana haki kutupangia chochote au kutufundisha chochote Watanzania ✍️
PALESTINE ni mfano mzuri kujua Wazungu wa Ulaya na Marekani sio Binadamu wenye kuheshem Sheria yoyote Duniani
kwao ni Ushoga tu ndio haki za Binadamu 🫡🫡🫡
Wazungu tajwa apo juu wanashiriki kuwauwa Maelfu ya Wapalestina kwenye Ardhi zao zenye kutambuliwa kisheria na Umoja wa Mataifa
Yani Umoja wa Mataifa unatambua izo Ardhi ni za Wapalestina✅️
lkn Marekani na Ulaya wanashiriki kwenye mauaji ya wenye Ardhi zao mbaya zaidi Wanashiriki pia kwenye Uporaji wa izo Ardhi ❗️❗️🫡🫡
uku ikiwabebesha jina la Ugaidi wenye Ardhi zao kwenye Ardhi yao‼️ ¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿
Inatukumbusha Ugaidi w Nelson Mandela kwenye Ardhi yao ya Weusi.
Leo Marekani na Ulaya ndio kunamazuzu wanawategemea Eti kupigania haki za watu.
Netanyahu kashauwa watu Elfu 70000+ anatafutwa na ICC
lkn anaenda Marekani na kupokewa kishujaa na kuondoka kama shujaaa!!
Kwamtazomo wako tu!!!Nje ya mada
Hajo Yako Haina mashiko,Unahama uko ulikokuwa unahamia Urusi; Sababu ni nini?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.
Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.
Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.
Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola Bilioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.
Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Analeta story za Abunwas Karne hii!Hapa JF hatutakuacha upotoshe tutakupiga Nyundo tu
Duh 🙄 ! 😁 !
Hapo ummemmaliza huyu kijana, anafikiri Watu hawajui mambo, analeta story za kutupanga!TOKA MAKTABA :
26 February 2015
Miili ya mashujaa wa Kupinga Ubaguzi wa Rangi Yarejeshwa Afrika Kusini Kutoka Mahali pa Kupumzikia Nchini Urusi
Na Gabrielle Tétrault-Farber
Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Nathi Mthethwa amesimama kwenye kaburi la JB Marks, mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi aliyezikwa katika Makaburi ya Novodevichye jijini Moscow.
By Gabrielle Tétrault-Farber / Kwa MT
Miongo kadhaa baada ya kuzikwa miongoni mwa Warusi mashuhuri, wakiwa wamezikwa karibu na mwandishi Nikolai Gogol na kiongozi wa Usovieti USSR Nikita Khrushchev, wanamapinduzi wawili wa Afrika Kusini waliopinga ubaguzi wa rangi hatimaye wanarudi nyumbani.
Ujumbe wa watu 20 ukiongozwa na Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Nathi Mthethwa ulikusanyika Alhamisi asubuhi katika Makaburi ya Novodevichye huko Moscow kutoa heshima zao kwa Moses Kotane na JB Marks, raia wenzao waliopigania haki sawa, kabla ya mabaki ya hao wawili kurejeshwa nyumbani Afrika Kusini wiki ijayo.
Wajumbe wa ujumbe huo, ambao wakiwemo jamaa za marehemu pamoja na naibu waziri wa mambo ya nje wa Afrika Kusini na wanajeshi, waliendelea na historia ya Urusi kwa karne nyingi, huku vipande vya theluji iliyoganda vikiganda chini ya miguu yao.
Waliinamisha vichwa vyao katika maombi kwenye makaburi ya Kotane na Marks, yakiwa yamezungukwa na matawi ya miti ya misonobari yenye mapambo. Pia walimtembelea mwanasiasa mwingine wa Afrika Kusini aliyezikwa Novodevichye: David Ivon Jones, mzaliwa wa Wales, Marxist ambaye aliongoza Chama cha Labour cha Afrika Kusini katika enzi ya kabla ya ubaguzi wa rangi 1948.
Imekuwa zaidi ya miongo miwili tangu kutokomea kwa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, ambapo mfumo wa ubaguzi wa rangi ulizuia kwa kiasi kikubwa uhuru wa idadi kubwa ya watu weusi nchini humo kuanzia mwaka 1948 hadi 1994.
Upinzani dhidi ya ubaguzi wa rangi mara nyingi ulikandamizwa vikali. Kama vile Rais wa Afrika Kusini marehemu Nelson Mandela, Kotane na Marks walipigania uhuru wa raia wao.
Uhamishwaji maeneo na kutengwa vilikuwa ndio mapito ya maisha yao.
Wakivutiwa na maadili ya kimataifa ya Umoja wa Kisovieti, walipata nafuu kutokana na mateso ya ubaguzi na uungwaji mkono kwa ajili ya harakati zao nchini Urusi.
Kotane, mkomunisti wa maisha yake yote mwenye mizizi ya wakulima, alihudumu kama katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha Afrika Kusini (SACP) kuanzia 1939 hadi kifo chake mwaka wa 1978. Mwanzoni mwa miaka ya 1930, Kotane alitumwa na chama chake katika Shule ya Kimataifa ya Lenin ya Moscow, inayoendeshwa na Jumuiya ya Kikomunisti ya Kimataifa, kwa mwaka mmoja. Kotane alirudi nchini mwake baada ya masomo yake, lakini mwaka wa 1963 alikimbilia Tanzania huku kukiwa na mateso mengi dhidi ya wanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi. Alirudi katika nchi ya alma mater yake kutafuta matibabu baada ya kupata kiharusi mwaka wa 1968.
Alitumia muongo mmoja wa mwisho wa maisha yake huko Moscow, na kufariki huko mwaka wa 1978.
Marks alihudumu kama mwenyekiti wa SACP katika miaka ya 1960. Kama Kotane, alitafuta matibabu katika Umoja wa Kisovieti mnamo 1971, na akafa kwa mshtuko wa moyo huko mwaka uliofuata.
Kotane pia alikuwa mwanachama wa African National Congress (ANC), chama cha siasa kilicho madarakani leo. Anatambulika kwa kuunganisha vikosi vya kisiasa vinavyopinga ubaguzi wa rangi katika mapambano yao dhidi ya utawala.
Kotane, pamoja na Mandela, alikuwa mmoja wa waandaaji wa Umkhonto we Sizwe (MK), tawi la kijeshi la ANC, ambalo liliongoza mashambulizi dhidi ya utawala. Katika hotuba yake maarufu ya "Nimejiandaa Kufa" mwaka wa 1964, Mandela alisema kwamba wanamgambo wenye silaha walikuwa wameundwa "wakati tu mambo mengine yote yaliposhindwa, wakati njia zote za maandamano ya amani zilikuwa zimezuiliwa kwetu [vikosi vya kupinga ubaguzi wa rangi]."
Usaidizi wa Kisovieti
Kotane na washirika wake walitafuta msaada wa vifaa na kifedha kutoka Umoja wa Kisovieti ili kupambana na serikali ya ubaguzi wa rangi ya Afrika Kusini. Baadhi ya wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha Afrika Kusini walitembelea Umoja wa Kisovieti katika miaka ya 1950, lakini uhusiano kati ya vikosi vya kupinga ubaguzi wa rangi na Moscow uliimarishwa tu katika miaka ya 1960.
"Urusi, zaidi ya nchi nyingine yoyote, iliunga mkono mapambano ya ukombozi wa watu wa Afrika, ikiwa ni pamoja na Afrika Kusini, bila masharti," Mthethwa, waziri wa sanaa na utamaduni, aliambia The Moscow Times siku ya Alhamisi. "Bila Urusi, hatungezungumzia kuangamia kwa ubaguzi wa rangi. Hatungezungumzia uhuru na demokrasia nchini Afrika Kusini."
Umoja wa Kisovieti, mfadhili wa wasoshalisti duniani kote, ulifadhili SACP South Africa Communist Party na kutoa mafunzo ya kijeshi na vifaa kwa wanamgambo wa kupinga ubaguzi wa rangi katika kipindi chote cha Vita Baridi, katika USSR na Afrika.
"Hawakuja tu kwa Umoja wa Kisovieti kwa ajili ya usaidizi," alisema Clarence Mini, mwenyekiti wa Wakfu wa Moses Kotane wenye makao yake Afrika Kusini, ambaye alikuwepo katika sherehe ya Alhamisi. "Walikwenda katika nchi za Magharibi, ikiwa ni pamoja na Amerika na Uingereza, kuomba usaidizi, lakini walikataliwa."
Waangalizi wamedai kwamba uungaji mkono wa Umoja wa Kisovieti kwa vikosi vya kupinga ubaguzi wa rangi ulikuwa wa ubinafsi zaidi kuliko kutokuwa na ubinafsi. Uungaji mkono wa Umoja wa Kisovieti kwa upinzani na uidhinishaji wa Marekani kwa utawala huo, ambao baadaye Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilikiri kuwa ulikuwa jaribio la kudumisha mshirika dhidi ya Umoja wa Kisovieti kusini mwa Afrika, ulionyesha alama ndogo za kijiografia za Vita Baridi.
Katika wasifu wake wa mwaka 1995, Mandela alikataa wazo kwamba uhusiano wa Moscow na vikosi vya kupinga ubaguzi wa rangi ulikuwa wa njia moja.
"Daima kutakuwa na wale wanaosema kwamba wakomunisti walikuwa wakitutumia. Lakini ni nani atakayesema kwamba hatukuwa tukiwatumia?" Mandela aliandika.
Nyuma ya Pazia
Ombi la kufukua maiti, kurudisha makwao na kumzika upya Kotane lilitoka kwa mjane wake, Rebecca.
"Bi. Kotane alitamani tumrudishe nyumbani," Mthethwa alisema. "Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini [Jacob Zuma] alilazimika kuheshimu hilo. [Ombi hili] lilitoka kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 103."
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alizungumzia suala hilo na Rais Vladimir Putin wakati wa ziara rasmi Moscow mwezi Agosti, ambapo aliweka shada la maua kwenye makaburi ya mashujaa wa nchi yake. Mthethwa alisema kwamba mashauriano na upande wa Urusi kuhusu vifaa vya kurejeshwa kwa mashujaa hao yameenda vizuri.
Samuel Kotane, mtoto wa kiume wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 67, alifichua tabasamu la baba yake lenye matundu alipoulizwa kuhusu jukumu la mama yake katika operesheni hii ya kimataifa. Rebecca Kotane, ambaye hakufanya safari ya kwenda Moscow, alishindwa na shinikizo la jamaa na kuomba mumewe arudishwe nyumbani, kulingana na mwanawe. Hapo awali alikuwa amepinga kuondolewa kwa mabaki ya mwili wake kutoka ardhini mwa Urusi, alisema.
Kama mtetezi wa kimataifa, Moses Kotane angekuwa na amani popote, aliwaza.
Mabaki ya Kotane na Marks yatawasili katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Waterkloof nje kidogo ya Pretoria Jumatatu. Kotane atazikwa katika mji wake wa Pella mnamo Machi 14, huku Marks akizikwa katika mji wake wa kuzaliwa, mji wa Ventersdorp, mnamo Machi 22. Serikali ya Afrika Kusini ilitangaza mapema wiki hii kwamba wanaume wote wawili watapewa heshima rasmi za mazishi.
Kotane na Marks hawakuwahi kushuhudia matunda ya kazi yao: mwisho wa ubaguzi wa rangi. Wala hawakuishi hadi kuona maadili yao ya kimataifa yakiporomoka baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti.
"Musa aliwaongoza watu wake, lakini hakuweza kufika nchi ya maziwa na asali, ingawa aliweza kuiona," Mthethwa alisema. "Hiki ndicho kilichowatokea Kotane na Marks. Nina uhakika wangejivunia kile kilichotokea katika nchi yao."
Wasiliana na mwandishi kwa
Wewe ni kinyeo tuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya kidiplomasia. Ni safari yake ya kwanza ndani ya Kremlin, pengine Rais Samia atarudi na mtazamo mpya kwa nchi yetu katika Siasa, Demokrasia, Uchumi na Ulinzi na Usalama na Kijamii kwa ujumla wake. Ninaamini ataitazama Urusi na umashariki kwa kubadii kile nchi yetu ilicholishwa kwa miaka 34 tangu Azimio la Zanzibar la 1992 lililozaa mfumo wa siasa za demokrasia ya vyama vingi, ambao ni demokrasia ya kipekee kutoka katika mfumo wa siasa wa kimagharibi.
Mtazamo wa Kidiplomasia wa Moscow dhidi ya Afrika, ni kwamba ukiondoa Afrika Magharibi na Afrika ya Kati ambako Moscow imekita zaidi mizizi, nchi za kusini mwa jangwa la sahara, Tanzania panatazamwa kama lango kuu la diplomasia ya Moscow kwa Afrika. Ikirejea Historia kwamba ndioi Siasa za Lenin zilianzia kwa Afrika, Lakini kuanguka kwa Soviet 1991 na vita baridi vya muda mrefu katika Moscow na Washington kuliiacha Tanzania ikiwa mateka wa siasa na uchumi wa Magharibi kwakuhitikisha Ujamaa pale Zanzibar kwa Azimio la kuzika Azimio la Arusha na kuzaliwa Azimio la Zanzibar 1992. Ziara hii kwa hakika ni hatua muhimu kwa diplomasia yetu ya uchumi.
Mtazamo wangu ni kwamba ni wakati sasa kupitia msimamo wa Rais Samia kuamua kuandika Katiba Mpya ya Jamhuri, tubadili sera yetu ya Mashauri ya Kigeni, ambapo moja kwa moja tutabadili siasa zetu,, tutabadili uchumi wetu, tutabadili ulinzi na usalama wetu, tutabadili mitazamo ya jamii katika kila eneo. Tutazame zaidi ushirikiano wa Kiuchumi kuliko ushirika wa kale wa militarization ambako dunia ilishahama, hatuko kwenye ukombozi wa Afrika, Afrika ilishakuwa huru, vita vilivyopo ni vya uchumi tu, hivyo msingi mkubwa wa diplomasia yetu ilenge katika faida za kiuchumi kwa nchi kuliko kufikiri ulinzi zaidi eneo ambalo tulihitimisha baada ya Uhuru wa Afrika Kusini na Zimbabwe.
Tanzania tuna akiba kubwa sana Uranium’s ya kutosha, tayaru tumeamua kufanya biashara na Mrusi aambapo amejenga kiwanda cha thamani ya Dola Bilioni 1.2, Ni mradi mkubwa zaidi wa nyuklia kwa Afrika Mashariki na Kati, Mrusi anatupatia utaalamu wa kurutubisha uranium nasi tumempa achimbe uranium hiyo kwa sharti arutubishe hapahapa tuzalishe umeme na maabara za utafiti wa nyuklia Afrika/Duniani zijengwe hapahapa, Nimeona Kigali ambayo haina madini ya uranium ikitegemea maadini toka DRC chini ya Marekani inataka kuchukua jukumu hilo ikiwa tutazubaa, huu ni uchumi wanchi, tusizubae, Kuwa na kitu cha Nyuklia au Maabara ya Nyuklia nchi itapata zaidi ya trilioni 20 kwa mwaka kama dhamana ya ku handle nyuklia hiyo. Automatikal tunakuwa super power!
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Kubwa zaidi, narudia tena kushauri, Ili kufunga milango ya kuingiliwa Uhuru wetu na nchi za magharibi kisa zinachangia bajeti yetu 40%, Ni wakati sasa wa Tanzania kuamua kujiunga na muungano huu mpya wa @brics_countries ulioasisiwa na nchi tano kama Urusi, China, India Afrika Kusini na Brazil na Tayari nchi mpya kama Ethiopia, Algeria, Uturuki, Misri nk zimeshajiunga, Pia Zimbabwe imeomba kujiunga.
Mwaka jana Urusi amebadili sera ya mambo yake ya Nje na kwamba ushirika wowote wa Urusi duniani utakuwa wa 50/50 na sio ule wa Marekani na wajomba zake Ulaya wa anachimba madini kilo 100 kisha wewe mwenye madini anakupa kilo 3 tena nazo hadi auze zile 100 apate faidi, wakati huo kwenye kuuza huko wewe mmang’ati na mubembe huruhusiwi kushuhudia mauzo hayo…. matokeo yake anachimba miaka kumi anauza anakwambia faida hajapata mwisho anafunga mgodi…. Kumbaaafu sisi!
Now we have a new chapter, Russia is our haven…. Tusipoijenga afrika chini ya Mrusi basi sisi ni machipanzee kabisa sio tu manyani!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3600269View attachment 3600270
Hapo ummemmaliza huyu kijana, anafikiri Watu hawajui mambo, analeta story za kutupanga!
Kabudi huyu,huyuhuyu?!!Huyu mwenzetu hasomi historia iliyojaa katika maktaba za hapa JF, maktaba halisi zenye kuta nne wala pengine bando la ku google na kutizama mitandao ya kijamii Youtube n.k ni mtihani, hivyo anategemea sana vijiwe vya kahawa Kigamboni Ferry, Chuo cha Chama Kivukoni Mwl. Nyerere na stori za Palamagamba Kabudi ndiyo rejea yake kuu
STORI ZA KIJIWE CHA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI:
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari.
Hivyo kolamu / column ya kuzungumzia mapito yake toka zama hizo mpaka sasa hivi itakuwa nafasi murua kuangazia habari motomoto hususan za nafasi yake kama waziri katika serikali.
Leo Azungumzia nafasi ya Tanzania katika dunia na ushawishi wake na kwenda mbali zaidi Prof. Palamagamba Kabudi anafananisha nafasi ya Tanzania ni kama 'nyonga' ya Afrika ktk masuala ya kimataifa.
Source : Zanzibar Ni Kwetu
- Bagamoyo
- Replies: 84
- Forum: Jukwaa la Siasa
Naona 'mazungumzo' yanafanyika kupitia kusoma note book hahhahaaaRussia tunapendeza zaidi ✅️✅️
kwa Mashoga hatutaki kwenda Kabisa sisi tunamuogopa Mungu wa mbinguni na Usodoma !!!!
Nendeni nyinyi Chadema Mkajifunze haki Binadamu za Ulaya Ulaya!!!