kw nini udsm hwafungui branches mikoani au nje ya tz

kw nini udsm hwafungui branches mikoani au nje ya tz

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
nashindwa kuelewa ni kwa nini maprof na viongozi wa udsm wanashindwa kufungua matawi ya chuo hicho na ndio chuo kikuu cha kwanza hapa tz,pia wanashindwa hata kufungua mikoani achilia mbali nchi za nje.wanazidiwa hata na cbe...nielewesheni labda kuna sababu ambayo mimi siifahamu
 
Siasa mbovu za CCM kuweka kila kitu Dar. Wengine hawana hadhi
 
Ikifungua matawi, matawi hayo hukua haraka na kugeuka vyuo vikuu vinavyojitegemea. Muhimbili, SUA vilikuwa matawi ya UDSM
 
hayo matawi ni novelty au kulikuwepo tayari na chuo? na je nje ya nchi?
 
Sua, muhimbili yalikuwa matawi ya udsm, na udsm ilikuwa tawi la eastafrican university iliovunjika na kupata makerere, nairobi na udsm
 
nipe tofauti ya college na branch

University college" hizi zinauwezo wa ku offer tertiary education lakini hazina hadhi ya kuwa full or independent university pia ni sehemu ya chuo kikuu kikubwa (larger university) au unaweza sema a university college attached to or affiliated with a university

Branch campus is a campus of a college or university that is physically detached from the main university or college area, and is often smaller than the main campus of an institution.
 
Fafanua kidogo unaposema sio kweli unamaanisha nini au unakataa kuwa SUA, Muhimbili au Ardhi hazikuwa sehemu ya UDSM?
kabla cjakupa jibu ushaelewa jamaa alikua anamaanisha nini??? embu reje hapa.....
Ikifungua matawi, matawi hayo hukua haraka na kugeuka vyuo vikuu vinavyojitegemea. Muhimbili, SUA vilikuwa matawi ya UDSM
jibu:
umeona hapo kwenye red!!! jamaa anamaanisha UDSM HAITAKI KU OPEN COLLEGES NYINGINE kwa sababu iki open hizo college zinakua na kua vyuo vinavyojitegemea!! SASA WEWE ILO UNAAMINI?????
SIO kwamba nabisha SUA na ardhi havikua part ya udsm,dont get me wrong!!!!!
 
kabla cjakupa jibu ushaelewa jamaa alikua anamaanisha nini??? embu reje hapa.....
jibu:
umeona hapo kwenye red!!! jamaa anamaanisha UDSM HAITAKI KU OPEN COLLEGES NYINGINE kwa sababu iki open hizo college zinakua na kua vyuo vinavyojitegemea!! SASA WEWE ILO UNAAMINI?????
SIO kwamba nabisha SUA na ardhi havikua part ya udsm,dont get me wrong!!!!!
Na dhumuni la kuazisha hizo college mara nyingi inakuwa zije kujitegemea hapo baadae na ndio maana baada ya hivyo vyuo vikuu kujitegemea leo imeanzisha MUCE,DUCE,COET etc kama nimesahau vingine
 
Na dhumuni la kuazisha hizo college mara nyingi inakuwa zije kujitegemea hapo baadae na ndio maana baada ya hivyo vyuo vikuu kujitegemea leo imeanzisha MUCE,DUCE,COET etc kama nimesahau vingine
sasa rejea jamaa alichosema....na nlichosema...then unganisha na ulichosema then utajua wht i meant!!! ulichosema ni kwel...ila jamaa alikua anapinga kwamba haitaki kufungua vingine maana vikifunguliwa VINAJITEGEMEA!!!
 
nahisi kutokana na mipangilio mibovu na upungufu wa mawazo wa wa2 husika maana kwa kutazama kwa haraka ni kitu muhimu saana na wenda kingeapunguzia mkusanyiko wa kuwa na wanafunzi wengi na pia hata kuwapa mazingira mepesi maprofesa husika
 
Wana duce tunapata shida,kila kitu kinafanyika main cumpus..naona bora tusiwe chini ya udsm
 
University college" hizi zinauwezo wa ku offer tertiary education lakini hazina hadhi ya kuwa full or independent university pia ni sehemu ya chuo kikuu kikubwa (larger university) au unaweza sema a university college attached to or affiliated with a university

Branch campus is a campus of a college or university that is physically detached from the main university or college area, and is often smaller than the main campus of an institution.
sasa hizo muce na duce ni nini?ni branch campus au university college......fikiria kwanza kabla hujakoment
 
Matawi ya fucult gani??Mana Arusha mjini kuna UDSM Computing Centre:::::Coz ni nyingi na pia hawanzishi mana kuna vingine huko
 
Back
Top Bottom