kw nini udsm hwafungui branches mikoani au nje ya tz

sasa hizo muce na duce ni nini?ni branch campus au university college......fikiria kwanza kabla hujakoment
Wewe ndio unatakiwa ufikirie kwa kuwa na mtazamo mgando, Tatizo lako unachotaka ni kuona jina la branch liwe sawa na lile la chuo mama moja kwa moja, maana hata hizo university college kama MUCE na DUCE zina nembo ya UDSM fatilia hilo, hata cheti kinaandikwa UDSM.labda kwa kukusaidia zaidi angalia hata hii web site yao pia ingia ndani usome maelezo, jitahidi kuishi kwa kufuatilia mambo ila sio kwa kukariri tu, http://muce.udsm.ac.tz/
 
we ni mgumu kuelewa swala sio kukariri bali ni principle za umuundo wa vyuo,kwa mujibu wa maelezo yako inaonekana university college ikiwa mbali na main campus inakua branch....
 
what do you know about MUCE?

nashindwa kuelewa ni kwa nini maprof na viongozi wa udsm wanashindwa kufungua matawi ya chuo hicho na ndio chuo kikuu cha kwanza hapa tz,pia wanashindwa hata kufungua mikoani achilia mbali nchi za nje.wanazidiwa hata na cbe...nielewesheni labda kuna sababu ambayo mimi siifahamu
 
HIvi nnyi kwanini msitembelee wavuti ya chuo kulikoni kubishana pasina data? udsm kuna vingi mfano: cumpus colleges,Constituent Colleges,Schools, insitutes, centers,Bureaus etc. mfano
Campus Colleges

Constituent Colleges

Schools

Institutes

Centres

Bureaus

Other

Directorates

wewe ndo umekata mzizi wa fitina..kwa sasa nimeelewa zaidi sio duncan amekariri tu
 
Duh nashukuru kama umeelewa japo imetumika nguvu kubwa sana kukuelewesha.[/QUOTE

Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu, huyo jamaa anataka kufanyiwa kila kitu mpaka ameletewa link ndio angalau kaamini kuwa udsm inamatawi mengi sana ila hayatumii jina mama kwa asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom