Dancani
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 796
- 403
Wewe ndio unatakiwa ufikirie kwa kuwa na mtazamo mgando, Tatizo lako unachotaka ni kuona jina la branch liwe sawa na lile la chuo mama moja kwa moja, maana hata hizo university college kama MUCE na DUCE zina nembo ya UDSM fatilia hilo, hata cheti kinaandikwa UDSM.labda kwa kukusaidia zaidi angalia hata hii web site yao pia ingia ndani usome maelezo, jitahidi kuishi kwa kufuatilia mambo ila sio kwa kukariri tu, http://muce.udsm.ac.tz/sasa hizo muce na duce ni nini?ni branch campus au university college......fikiria kwanza kabla hujakoment