Na ARDHI University pia, mtoa maada hajui kuwa hata MUCE iliyopo Iringa ni sehemu ya chuo kikuu cha DSMIkifungua matawi, matawi hayo hukua haraka na kugeuka vyuo vikuu vinavyojitegemea. Muhimbili, SUA vilikuwa matawi ya UDSM
nipe tofauti ya college na branchNa ARDHI University pia, mtoa maada hajui kuwa hata MUCE iliyopo Iringa ni sehemu ya chuo kikuu cha DSM
SIO KWELI...hiyo sio sababu!!Ikifungua matawi, matawi hayo hukua haraka na kugeuka vyuo vikuu vinavyojitegemea. Muhimbili, SUA vilikuwa matawi ya UDSM
Ikifungua matawi, matawi hayo hukua haraka na kugeuka vyuo vikuu vinavyojitegemea. Muhimbili, SUA vilikuwa matawi ya UDSM
nipe tofauti ya college na branch
Fafanua kidogo unaposema sio kweli unamaanisha nini au unakataa kuwa SUA, Muhimbili au Ardhi hazikuwa sehemu ya UDSM?SIO KWELI...hiyo sio sababu!!
kabla cjakupa jibu ushaelewa jamaa alikua anamaanisha nini??? embu reje hapa.....Fafanua kidogo unaposema sio kweli unamaanisha nini au unakataa kuwa SUA, Muhimbili au Ardhi hazikuwa sehemu ya UDSM?
jibu:Ikifungua matawi, matawi hayo hukua haraka na kugeuka vyuo vikuu vinavyojitegemea. Muhimbili, SUA vilikuwa matawi ya UDSM
Na dhumuni la kuazisha hizo college mara nyingi inakuwa zije kujitegemea hapo baadae na ndio maana baada ya hivyo vyuo vikuu kujitegemea leo imeanzisha MUCE,DUCE,COET etc kama nimesahau vinginekabla cjakupa jibu ushaelewa jamaa alikua anamaanisha nini??? embu reje hapa.....
jibu:
umeona hapo kwenye red!!! jamaa anamaanisha UDSM HAITAKI KU OPEN COLLEGES NYINGINE kwa sababu iki open hizo college zinakua na kua vyuo vinavyojitegemea!! SASA WEWE ILO UNAAMINI?????
SIO kwamba nabisha SUA na ardhi havikua part ya udsm,dont get me wrong!!!!!
sasa rejea jamaa alichosema....na nlichosema...then unganisha na ulichosema then utajua wht i meant!!! ulichosema ni kwel...ila jamaa alikua anapinga kwamba haitaki kufungua vingine maana vikifunguliwa VINAJITEGEMEA!!!Na dhumuni la kuazisha hizo college mara nyingi inakuwa zije kujitegemea hapo baadae na ndio maana baada ya hivyo vyuo vikuu kujitegemea leo imeanzisha MUCE,DUCE,COET etc kama nimesahau vingine
sasa hizo muce na duce ni nini?ni branch campus au university college......fikiria kwanza kabla hujakomentUniversity college" hizi zinauwezo wa ku offer tertiary education lakini hazina hadhi ya kuwa full or independent university pia ni sehemu ya chuo kikuu kikubwa (larger university) au unaweza sema a university college attached to or affiliated with a university
Branch campus is a campus of a college or university that is physically detached from the main university or college area, and is often smaller than the main campus of an institution.