Kwa 100%, nina mashaka na uraia rais TFF

Kwa 100%, nina mashaka na uraia rais TFF

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Kipindi cha uchaguzi niliposikia anachunguzwa uraia, nilijua ni figisu za uchaguzi. Lakin kwa hotuba fupi ya leo hapa uwanja wa Taifa, nimejiridhisha bila shaka kuwa si raia wa Tanzania hata km amesafishwa. Nina mashaka pia yawezekana kulikuwa na maagizo ya kumsafisha. Hii nchi ipo siku tutaongozwa na wasomali
Nawasilisha
 
Nilimsikia siku moja ktk tv akijinadi, nikachoka, mtanzania gani hajui kiswahili, anakipngea kwa shida sana, anatafuta maneno!
 
Jamaa nilipoona wajihi wake bila shaka ya aina yoyote nilihitimisha kwa kusema huyu sio mtanzania

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Huyu baba yake wanasema alitokea Somalia lakini yeye alizaliwa hapa hivyo ni raia ...japokuwa wengine labda walitegemea awe na jina lenye asili ya baba yake kama Aden au Abdi, ndio hivyo yeye ni St. Wallace!
 
Acha maneno mengi.
Weka ushahidi juu ya meza
 
Jamaa nilipoona wajihi wake bila shaka ya aina yoyote nilihitimisha kwa kusema huyu sio mtanzania

Sent From My Nokia Ya Tochi
Mama yake mchaga na baba yake msomali

Kazaliwa sijui moshi au arusha

Pingamizi alilowekewa na madega ni kuwa hakuukana uraia wa baba yake alipofikisha miaka 18

Sasa mtu ambaye mama yake ni mchaga na kazaliwa Tanzania una mashaka nae vipi
 
Karia ni mtanzania ni familia ya kihamiaji kutoka somalia

Kumbuken hata somalia wakristo wapo

And karia is a hard working person
Give man a time namuamin ataipeleka tff mbele

Then dunia imebadilika sana..miaka 50 Iliyopita usingeweza kuamin km **** mwislam atakuwa meya wa jiji la London moja ya jiji kongwe dunian lenye utamadun wa kikristo

Hata waislam wanaojilipua wapo kwenye transition IPO siku watajutia ugaid wao watakuwa poa

Dunia inabadilika sana usishangae hizi Dino miaka mia ijayo zikapotea zikatoea Dino zinazopendwa kuliko hizi

Tuwe tunasoma vitabu tuongeze maarifa wakuu

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Jamaa kapata 95 votes tuacheni siasa fanyeni kazi ,95 sio mchezo dhidi ya 9 licha ya figisu figisu zote

Halafu jamaa mama yake mchaga na kazaliwa Tz ,sasa huyu mtu hana haki ya kuongoza ?

Ase kazi kweli kweli
 
Fanyeni hivi

Aimbe wimbo wa taifa, wimbo wa Tanzania nakupenda na wimbo wa Tazama ramani

Akishindwa basi sio Mbongo!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Fanyeni hivi

Aimbe wimbo wa taifa, wimbo wa Tanzania nakupenda na wimbo wa Tazama ramani

Akishindwa basi sio Mbongo!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Nina uhakika hawezi aisee si kwa kwa kuokoteza maneno ya kiswahili kule!
Tena alikuwa anasoma ingekuwa ni flow from kichwani sijui ingekuwaje!!
 
Nilimsikia siku moja ktk tv akijinadi, nikachoka, mtanzania gani hajui kiswahili, anakipngea kwa shida sana, anatafuta maneno!
.....Karia amekuwa DED Mvomero kwa kipindi kirefu, na amechangia sana kuiletea maendeleo Halmashauri hiyo. Sasa sijui kipindi chote hicho watu walikuwa wapi. Hii inanikumbusha kisa cha jenerali Ulimwengu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanyeni hivi

Aimbe wimbo wa taifa, wimbo wa Tanzania nakupenda na wimbo wa Tazama ramani

Akishindwa basi sio Mbongo!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Hilo zoezi mmpe na magu pia, maana naye uraia wake haujulikani vizuri, watu wanasema anatokea misitu na milima ya kongo-banyamulenge

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Kujua kuimba wimbo wa Tanzania nakupenda si kigezo cha kuwa Mtanzania original, mimi mwenyewe siwezi ingawa nimezaliwa pale Temeke
 
Back
Top Bottom