Kwa 100%, nina mashaka na uraia rais TFF

Kwa 100%, nina mashaka na uraia rais TFF

Atakuwa ni mtoto wa nje ya ndoa na kalelewa na single parent.
 
Karia ni mtanzania na hata baba yake ni msomali mtanzania. Amezaliwa Tanga na kukulia Tanga na mama yake mpare wa Tanga. Alikuwa kiongozi wa Coast Union ya Tanga n.a. kiongozi wa michezo zaida ya miaka 20'- Acheni fitina zenu kiswahili chenye lafidhi ya Tanga ndiyo lugha yake. Na mhasibu kitaaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tu Kiswahili linawasumbua lakini ni Watanzania; mfano Manji, Fatma Karume, n.k
 
Mama yake mchaga na baba yake msomali

Kazaliwa sijui moshi au arusha

Pingamizi alilowekewa na madega ni kuwa hakuukana uraia wa baba yake alipofikisha miaka 18

Sasa mtu ambaye mama yake ni mchaga na kazaliwa Tanzania una mashaka nae vipi
Hujielewi wewe

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Wengi tu Kiswahili linawasumbua lakini ni Watanzania; mfano Manji, Fatma Karume, n.k
Manji Akitoka atadakwa pia kwa issue ya uraia (Tunza hii comment)

Fatma karume huna haja ya kujiuliza maswali kwani unashindwa kutrace origin ya familia yake.

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Hujielewi wewe

Sent From My Nokia Ya Tochi
Kati yangu mm na wewe nani hajielewi sasa

Wizara ya mambo ya ndani wanasema ni RAIA

Mama yake ni mchaga sijui mpare na kazaliwa hapa utamtilia mashaka gani .

Think big
 
Back
Top Bottom