Nilimsikia siku moja ktk tv akijinadi, nikachoka, mtanzania gani hajui kiswahili, anakipngea kwa shida sana, anatafuta maneno!Kipindi cha uchaguzi niliposikia anachunguzwa uraia, nilijua ni figisu za uchaguzi. Lakin kwa hotuba fupi ya leo hapa uwanja wa Taifa, nimejiridhisha bila shaka kuwa si raia wa Tanzania hata km amesafishwa. Nina mashaka pia yawezekana kulikuwa na maagizo ya kumsafisha. Hii nchi ipo siku tutaongozwa na wasomali
Nawasilisha
Mama yake mchaga na baba yake msomaliJamaa nilipoona wajihi wake bila shaka ya aina yoyote nilihitimisha kwa kusema huyu sio mtanzania
Sent From My Nokia Ya Tochi
Nina uhakika hawezi aisee si kwa kwa kuokoteza maneno ya kiswahili kule!Fanyeni hivi
Aimbe wimbo wa taifa, wimbo wa Tanzania nakupenda na wimbo wa Tazama ramani
Akishindwa basi sio Mbongo!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
.....Karia amekuwa DED Mvomero kwa kipindi kirefu, na amechangia sana kuiletea maendeleo Halmashauri hiyo. Sasa sijui kipindi chote hicho watu walikuwa wapi. Hii inanikumbusha kisa cha jenerali Ulimwengu.Nilimsikia siku moja ktk tv akijinadi, nikachoka, mtanzania gani hajui kiswahili, anakipngea kwa shida sana, anatafuta maneno!
Hilo zoezi mmpe na magu pia, maana naye uraia wake haujulikani vizuri, watu wanasema anatokea misitu na milima ya kongo-banyamulengeFanyeni hivi
Aimbe wimbo wa taifa, wimbo wa Tanzania nakupenda na wimbo wa Tazama ramani
Akishindwa basi sio Mbongo!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Wimbo wa Tanzania nakupenda mi siwezi kuuimba wote bila kuukosea,lakini mi ni Mtanzania.Fanyeni hivi
Aimbe wimbo wa taifa, wimbo wa Tanzania nakupenda na wimbo wa Tazama ramani
Akishindwa basi sio Mbongo!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app