Hujielewi weweMama yake mchaga na baba yake msomali
Kazaliwa sijui moshi au arusha
Pingamizi alilowekewa na madega ni kuwa hakuukana uraia wa baba yake alipofikisha miaka 18
Sasa mtu ambaye mama yake ni mchaga na kazaliwa Tanzania una mashaka nae vipi
Manji Akitoka atadakwa pia kwa issue ya uraia (Tunza hii comment)Wengi tu Kiswahili linawasumbua lakini ni Watanzania; mfano Manji, Fatma Karume, n.k
Mbona ngosha husemiNilimsikia siku moja ktk tv akijinadi, nikachoka, mtanzania gani hajui kiswahili, anakipngea kwa shida sana, anatafuta maneno!
Kati yangu mm na wewe nani hajielewi sasaHujielewi wewe
Sent From My Nokia Ya Tochi