kwa 1st year wote udsm waishio dar.

kwa 1st year wote udsm waishio dar.

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa udsm jumaa tatu tunatakiwa tukachukue admission letter kwa wale wa jk nyerere mlimani campus zitatolewa yombo.
 
1.ni option ama ni lazima??

2.yombo pande ipi??

1. Jaman hili swali lako lina utata ni option au lazima? Sasa bila admission unaanzaje chuo? Sio option, ni lazima but kwenda hiyo j3 ni option unaweza kwenda any day lakini admission letter is very important indeed n u must have it.
2. Yombo ni pale chuo,kituo kinaitwaa bondeni,ukiwaunatokea ubunge na gari la chuo ni upande wako huo unaoshukia lakini kama unatokea mwenge unavuka barabara. Utaiona njia inaelekea yombo
 
I roger that mkuu....!!
Be blessed
 
Ni vizur mkawahi mapema coz kuna kuwaga na folen saana hasahasa wakati wa kupiga picha so ni vyema mkawahi mapema pale kama watasema mpige picha basi zoezi hilo mlifanye mapema ili kuepuka usumbufu wa kutumia siku nying katka usajili!!!
 
sawa mkuu
Siku iyo pia zoezi la kupiga picha za vitambulisho litafanyika.
 
Asante,nitaenda jumatatu,nina hamu na chuo mimi jaman.

Karibu sana, utakichoka soon. Kitakuwa kizuri pia kwako utakapofuata kilichokupeleka, ila kitakuwa kibaya utakapotafuta mambo ya ziada na kikakuelemea. Karibu, be careful.
Be blessed
 
hamu kwa muda huu ni lazma ila kipind cha kutafuta course work mtafutano

Umeona eeh? Yaani usinikumbushe kabisa, duh! Nikifikiria hiyo kitu hata hamu ya kufungua chuo inaisha kabisaaaa. Nashukuru ndio ungwe yangu ya mwisho
 
Hivi kule kusoma kwa kucremisha kupo? kama kupo lazima nipasue maana mim kwa kumeza ndo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom