Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.ni option ama ni lazima??
2.yombo pande ipi??
1. Jaman hili swali lako lina utata ni option au lazima? Sasa bila admission unaanzaje chuo? Sio option, ni lazima but kwenda hiyo j3 ni option unaweza kwenda any day lakini admission letter is very important indeed n u must have it.
2. Yombo ni pale chuo,kituo kinaitwaa bondeni,ukiwaunatokea ubunge na gari la chuo ni upande wako huo unaoshukia lakini kama unatokea mwenge unavuka barabara. Utaiona njia inaelekea yombo
Sio lazima asiye na nafasi anaweza kusubiri adi tarehe ya kufungua yombo ni palepale chuo kuna hall linaitwa yombo.
sawa mkuuNi vizur mkawahi mapema coz kuna kuwaga na folen saana hasahasa wakati wa kupiga picha so ni vyema mkawahi mapema pale kama watasema mpige picha basi zoezi hilo mlifanye mapema ili kuepuka usumbufu wa kutumia siku nying katka usajili!!!
Asante,nitaenda jumatatu,nina hamu na chuo mimi jaman.
hamu kwa muda huu ni lazma ila kipind cha kutafuta course work mtafutano