GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Ukiwa na 10000 tosha kabsa
Vigezo gani natakiwa kuwa navyo mkuu mfano kitambulisho
Nataka pia Nitumie kwa ajili ya internet banking naskia CRDB ndio wako vizuri
CRDB 20,000/=TSHNataka pia Nitumie kwa ajili ya internet banking naskia CRDB ndio wako vizuri
Asante but vigezo please
naskia crdb elfu ishirini..Vigezo gani natakiwa kuwa navyo mkuu mfano kitambulisho
Kama malengo yako ni online payment wala sikushauri crdb...nmb au nbc!! Utajuta!!!Nataka pia Nitumie kwa ajili ya internet banking naskia CRDB ndio wako vizuri
undertwentyboy kama jina la Id yako.Wana JF,
Nina 50000 nafikiria nifungue akaunti bank hasa CRDB, sijajua kama inatosha na ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo.
Asanteni
Kwa huku nilipo hizo bank kama hazipo hivi nitafuatiliaKama malengo yako ni online payment wala sikushauri crdb...nmb au nbc!! Utajuta!!!
Angalia benki kama bankABC, equity, backlays, boa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mdhamini yoyote anaehitajikanaskia crdb elfu ishirini..
unatakiwa picha za passportsize kama tano hivi..
barua ya serikali ya mtaa
kitambulisho cha kupigia kura
bila kusahau mdhamini..na mdhamini shurtivawe mteja wa crdb kwa zaidi ya miaka miwili..
katika fomu ya maombi kuna sehemu mdhamini atajaza n Kuweka sahihi yake
Kitambulisho chakoAsante but vigezo please
We mwache tu.[emoji1] [emoji1]Kila mwezi wanakata maintainance fee ya 10,000 hapo CRDB so ndani ya miezi 5 hio hela imeisha.
Hahah hizi bank ni wizi tu sometimes.
Kama hela yenyewe ya ngama.bora tigo pesa tu.labda uwe mfanya biashara.Hahah hizi bank ni wizi tu sometimes.