Kwa 50000 naweza kufungua akaunti ya bank?

Kwa 50000 naweza kufungua akaunti ya bank?

GREAT NAME

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
1,078
Reaction score
1,718
Wana JF,

Nina 50000 nafikiria nifungue akaunti bank hasa CRDB, sijajua kama inatosha na ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo.

Asanteni
 
Pesa nyingi sana hiyo.Kuna mabenki hadi bure kabisa wanafungua akaunti
 
Vigezo gani natakiwa kuwa navyo mkuu mfano kitambulisho
naskia crdb elfu ishirini..
unatakiwa picha za passportsize kama tano hivi..
barua ya serikali ya mtaa
kitambulisho cha kupigia kura
bila kusahau mdhamini..na mdhamini shurtivawe mteja wa crdb kwa zaidi ya miaka miwili..
katika fomu ya maombi kuna sehemu mdhamini atajaza n Kuweka sahihi yake
 
Hakuna mdhamini yoyote anaehitajika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwezi wanakata maintainance fee ya 10,000 hapo CRDB so ndani ya miezi 5 hio hela imeisha.
 
Back
Top Bottom