siku hizi ukiwa na kitambulisho tu cha NSSF/KURA/URAIA UNAFUNGUA AKAUNTI HAKUNA HAJA YA KWENDA SERIKALI YA MTAAnaskia crdb elfu ishirini..
unatakiwa picha za passportsize kama tano hivi..
barua ya serikali ya mtaa
kitambulisho cha kupigia kura
bila kusahau mdhamini..na mdhamini shurtivawe mteja wa crdb kwa zaidi ya miaka miwili..
katika fomu ya maombi kuna sehemu mdhamini atajaza n Kuweka sahihi yake
Makato kila mwezi ni 1500 tuKila mwezi wanakata maintainance fee ya 10,000 hapo CRDB so ndani ya miezi 5 hio hela imeisha.
mimi nmejuta vya kutosha hawa crdb sina hamu naoKama malengo yako ni online payment wala sikushauri crdb...nmb au nbc!! Utajuta!!!
Angalia benki kama bankABC, equity, backlays, boa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nnamshangaa mleta mada!!
Hivi mkuu Lodrick Thomas kati ya equity bank na bank ABC ni ipi ambayo unaweza kupendekeza kwa haya mambo ya online payments?Ndio maana nnamshangaa mleta mada!!
Nadhani benk yoyote yenye visa card tofauti na hizi local banks kama crdb...nmb...nbc...!!Hivi mkuu Lodrick Thomas kati ya equity bank na bank ABC ni ipi ambayo unaweza kupendekeza kwa haya mambo ya online payments?
Maana ata mimi nataka nifungue account kwa aajili ya kazi hiyo tu.
Ahsante.
Ok....Nadhani benk yoyote yenye visa card tofauti na hizi local banks kama crdb...nmb...nbc...!!
Kuna bank wanatoa card tu bila kufungua account then unaanza kuweka pesa nadhan ni bankABC au bankM!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Ngoja niachane na CRDB kama ni wazinguajiNenda equity Bank na kitambulisho chako tu, baada ya nusu saa utakuwa na account namba yako pamoja na debit card kwa shilingi 10,000/=.
Tatizo nini mkuu
EQUITY UNAENDA NA 10000 PAMOJA NA KITAMBULISHO CHAKO CHA KURA PICHA KILA KITU UTAPIGWA HUKOHUKOKama malengo yako ni online payment wala sikushauri crdb...nmb au nbc!! Utajuta!!!
Angalia benki kama bankABC, equity, backlays, boa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Equity ipo Tanzania nzima au ni bongo tu manaake mi nipo njombe mkuuEQUITY UNAENDA NA 10000 PAMOJA NA KITAMBULISHO CHAKO CHA KURA PICHA KILA KITU UTAPIGWA HUKOHUKO
HUKU KASKAZIN IPO KILA MKOA ARUSHA KILIMANJARO TANGA SIJAJUA HUKO KUSINEquity ipo Tanzania nzima au ni bongo tu manaake mi nipo njombe mkuu
Sawa Ngoja nifuatilieHUKU KASKAZIN IPO KILA MKOA ARUSHA KILIMANJARO TANGA SIJAJUA HUKO KUSIN