GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliahidi milioni 50 kila Kijiji baadaye akapindisha ulimi.Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao...hii ni sawa na alivyosema M4C [movement for change] ya Chadema ni "Magufuli for Change."
..kwani CCM mlikuwa wapi miaka yote msituletee Universal Health Care?
..HATUDANGANYIKI!!
Ni kiongozi Bora, mazuri anayachukua haijalishi yametoka wapi.Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao.
Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao.
Ilibidi acknowledge source ya wazo. Siyo ajifanye kuwa lilikuwemo kwenye kitabu chake kile Cha njano.Ni kiongozi Bora, mazuri anayachukua haijalishi yametoka wapi.
Mawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao."Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Watu hamsahau,ahahhahAliahidi milioni 50 kila Kijiji baadaye akapindisha ulimi.
Pia aliahidi kompyuta kwa kila mwalimu baadaye akaikana.
Usisahau pia aliahidi wakulima watauza mahindi yao popote wapendapo baadaye akawa wa kwanza kuzuia kuuza nje.
Magufuli haaminiki tena
AhahahMawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao.
Ni Sera za CDM ameiba...Mayanga ni mwizi"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Shosti we acha tu... Hahah MATAGA wamepoteana [emoji23][emoji23]Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao.
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Aliwahaidi waunga juhudi atawaangusha,Leo kina lijuakali wanazimia,mbatia kaachwa apambane na Hali yake."Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Genta Hii ni Sera ya Chadema na Lissu. CCM mmedandia treni kwa mbele the genius."Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.