Uchaguzi 2020 Kwa 'Ahadi' hii iliyo muhimu sana kwa Mtanzania yoyote yule Rais Magufuli acha Kuendelea Kupiga tena 'Kampeni' kwani tayari umeshashinda Urais 2020

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli

Nipashe

Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
 
Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Aliahidi milioni 50 kila Kijiji baadaye akapindisha ulimi.

Pia aliahidi kompyuta kwa kila mwalimu baadaye akaikana.

Usisahau pia aliahidi wakulima watauza mahindi yao popote wapendapo baadaye akawa wa kwanza kuzuia kuuza nje.

Magufuli haaminiki tena
 
..hii ni sawa na alivyosema M4C [movement for change] ya Chadema ni "Magufuli for Change."

..kwani CCM mlikuwa wapi miaka yote msituletee Universal Health Care?

..HATUDANGANYIKI!!
Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao.
 
Bima haina maana kama watu wanauawa, wanatekwa na kupigwa risasi halafu anaishia kuwatupia vijembe.

Lengo la bima ni kusaidia ktk kuokoa maisha ya wagonjwa.

Kabla ya kutoa bima kwa wote azuie kwanza watu kupoteza maisha kupitia utekaji, mauaji na kupiga watu risasi
 
Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao.
Ni kiongozi Bora, mazuri anayachukua haijalishi yametoka wapi.
 
Lissu alisema alipata bima ya afya kwa €240 yeye na mke wake, wazee wa kukopi na ku paste wamewahi train kwa mbele kama kawaida yao.

..tangu TL aahidi Bima ya Afya wana-ccm kila mahali walikuwa wanapinga.

..sasa leo ghafla-bin-vu wanadai na wenyewe ilani yao imeahidi jambo hilo.

..ccm watafute jambo lingine la kuwadanganya waTz, lakini kwa hili tumeshtuka.
 
Amrudishe Alphonce Mawazo, Azory Gwanda, Ben Saa8, n.k kabla ya kuanzisha bima kwa wote.
 
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli

Nipashe

Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Mawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao.
 
Aliahidi milioni 50 kila Kijiji baadaye akapindisha ulimi.

Pia aliahidi kompyuta kwa kila mwalimu baadaye akaikana.

Usisahau pia aliahidi wakulima watauza mahindi yao popote wapendapo baadaye akawa wa kwanza kuzuia kuuza nje.

Magufuli haaminiki tena
Watu hamsahau,ahahhah
 
Mawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao.
Ahahah
20200904_141826.jpg

Wanasiasa usiwaamini sana mkuu,karibu ujipatie hii stress remover...
 
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli

Nipashe

Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.

Miaka ya kudanganywa ilishaisha mtani. Sasa hivi tunamchora tu yesu wa ccm.
 
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli

Nipashe

Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Aliwahaidi waunga juhudi atawaangusha,Leo kina lijuakali wanazimia,mbatia kaachwa apambane na Hali yake.
 
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli

Nipashe

Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Genta Hii ni Sera ya Chadema na Lissu. CCM mmedandia treni kwa mbele the genius.

Nashauri kura yako mpe Lissu aliyelielezea hiki kwa ufasaha!!
 
Back
Top Bottom