Akipata atakacho ukutupaWatu hamsahau,ahahhah
Mara utasikia kwani mm nimewaambia muambukizane magonjwa, humjui huyu jamaa yeye anachowoza ni madege na madaraja hakuna zaidi anachojua"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Aache kuteka na kupoteza raia, arekebishe sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwani sheria ya zamani ilikuwa bora kuliko ya sasa. Sheria zote alizo tunga na kulazimisha zifanye kazi retrospectively azisimamishe ili zifanye kazi ktk utaratibu wa kawaida.Ni kiongozi Bora, mazuri anayachukua haijalishi yametoka wapi.