Kwa AIBU hii ya TRAB na TRAT ya Mwigulu, yafuatayo yanawezekana kutokea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea

1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho.

2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na badiriko la mawaziri.

Ikumbukwe Mwigulu ndiye aliyesababisha data za wagonjwa wa COVID-19 kuachwa kutangazwa baada ya kumshauri rais akiwa bungeni kuacha kutangazwa hizo data za waliokufa, wagonjwa etc etc.
Kilichotokea ni vifo mlivishuhudia ambavyo mtu angelichukua tahadhali maana data zingelimpa hint of what is going on
 
jamani tumechoka ya Mwigulu tuleteeni madudu ya mawaziri wengine.

hivi cabinet ina mawaziri wangapi mizigo waliojificha kwenye kichaka cha raia kupambana na mnyampaa na tozo zake?
 
1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea
1. Kuondoa bunge live kuwaepusga na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho.

2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na badiriko la mawaziri.

Ikumbukwe Mwigulu ndioye aliyesababisha data za wagonjwa wa COVID 19 kuachwa kutangazwa baada ya kumshauri rais akiwa bungeni kuacha kutangazwa hizo data za waliokufa , wagonjwa etc etc.

Mchambuzi wa siasa kutoka Ufipa.
 
Ameshaweka wazi yupo mpaka 2025 na baada ya hapo mpaka 2030... Pengine keshaongea na Sir God
 
jamani tumechoka ya Mwigulu tuleteeni madudu ya mawaziri wengine.

hivi cabinet ina mawaziri wangapi mizigo waliojificha kwenye kichaka cha raia kupambana na mnyampaa na tozo zake?
Zam kwa zam
 
Gullo Shumbi Kijana toka Makunda Iramba anawanyoosha wana darusalama
Mwacheni yaa yaa yoo you yeee yaah yaaaaah apige kazi
Nyie tembeeni kifua mbereeeee
Na mzee wa tozo acha watandaaae, we mwana wa kilimo piga kazi mwana wane
 
Presidency is loading to this man...
Namwona akila kiapo cha urais so suala la muda tu
 
Mimi nawatangaza rasmi Mwigulu na Zungu kama maadui wa Watanzania. Ewe Mwenyezi Mungu tuamulie huu ugomvi na hawa nduli wawili,ukikupendeza kabla ya mwaka huu kwisha.
 
Back
Top Bottom