1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea
1. Kuondoa bunge live kuwaepusga na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho.
2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na badiriko la mawaziri.
Ikumbukwe Mwigulu ndioye aliyesababisha data za wagonjwa wa COVID 19 kuachwa kutangazwa baada ya kumshauri rais akiwa bungeni kuacha kutangazwa hizo data za waliokufa , wagonjwa etc etc.
Kilichotokea ni vifo mlivishuhudia ambavyo mtu angelichukua tahadhali maana data zingelimpa hint of what is going on
Ameshaweka wazi yupo mpaka 2025 na baada ya hapo mpaka 2030... Pengine keshaongea na Sir God1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea
1. Kuondoa bunge live kuwaepusga na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho.
2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na badiriko la mawaziri.
Ikumbukwe Mwigulu ndioye aliyesababisha data za wagonjwa wa COVID 19 kuachwa kutangazwa baada ya kumshauri rais akiwa bungeni kuacha kutangazwa hizo data za waliokufa , wagonjwa etc etc.
Kilichotokea ni vifo mlivishuhudia ambavyo mtu angelichukua tahadhali maana data zingelimpa hint of what is going on
Zam kwa zamjamani tumechoka ya Mwigulu tuleteeni madudu ya mawaziri wengine.
hivi cabinet ina mawaziri wangapi mizigo waliojificha kwenye kichaka cha raia kupambana na mnyampaa na tozo zake?